Recent content by Kisera

  1. K

    DOKEZO Serikali na Polisi Kilimanjaro mnataka mauaji yatokee Kijiji cha Mbatakero, Wilaya ya Hai ndio mje kutoa salamu za rambirambi?

    Jambo hili bado halijapata ufumbuzi.Wanakijiji wanajiandaa kutumia njia halali wanazojua ili kupata haki zao ikiwemo kujilinda wao na Mali zao. Kuna waandishi wa habari walienda wakahoji wananchi,na malalamiko yao tangia juzi,hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa hadi Sasa,na mifugo ya huyu Bwana...
  2. K

    Wananchi kijiji cha Mbatakero wilaya ya Hai tunaomba msaada wa haraka

    Hofu kubwa imetanda kwa wananchi wa Kijiji cha Mbatakero,Wilaya ya Hai,mkoani Kilimanjaro kutokana na uvamizi unaofanywa na wafugaji wa Kimasai kwa Wakulima Maskini wa kijiji hiki huku uongozi wa kijiji haswa Mwenyekiti aitwaye IVOCAVIT SWAI,ukishutumiwa kupokea rushwa kutoka kwa hawa wafugaji...
  3. K

    DOKEZO Serikali na Polisi Kilimanjaro mnataka mauaji yatokee Kijiji cha Mbatakero, Wilaya ya Hai ndio mje kutoa salamu za rambirambi?

    Kutoka Sadala unashuka chini kwenye barabara niliyokuelekeza,hakuna kibao chochote cha shule utakutana nacho isipokuwa Mbatakero.Ukifuata hicho kibao unafika zilizo ofisi za Kijiji, ukipiga hizo namba nilizoweka kwenye andiko watakuelekeza wote ni wenyeji na wapo hapo.
  4. K

    DOKEZO Serikali na Polisi Kilimanjaro mnataka mauaji yatokee Kijiji cha Mbatakero, Wilaya ya Hai ndio mje kutoa salamu za rambirambi?

    Unashukia Kwasadala unashuka na barabara ya Sadala-Longoi, kilomita sita kutoka Sadala utakutana na kibao hapo cha Mbatakero Shule ya Msingi
  5. K

    DOKEZO Serikali na Polisi Kilimanjaro mnataka mauaji yatokee Kijiji cha Mbatakero, Wilaya ya Hai ndio mje kutoa salamu za rambirambi?

    Hofu kubwa imetanda kwa Wananchi wa Kijiji cha Mbatakero, Wilaya ya Hai, Mkoani Kilimanjaro kutokana na uvamizi unaofanywa na wafugaji wa Kimasai kwa Wakulima Maskini wa kijiji hiki huku uongozi wa kijiji hasa Mwenyekiti ukishutumiwa kupokea rushwa kutoka kwa hawa wafugaji ambao ni wageni eneo...
  6. K

    Jamii tuzungumze kuhusu baadhi ya wababa na matunzo kwa watoto

    Mheshimiwa Waziri,nitakuja hapa kushare experience yangu kuhusu hili sababu nashughulika na masuala ya familia. Kuna lawama wanabeba Wababa zinazosababishwa na wanawake pia.Tusifanye hasty generalization Kwamba tatizo ni wanaume ndio chanzo.Nitaandika usiku huu Mungu akijalia.
  7. K

    Video: Wananchi Kenya wavamia ubalozi wa Tanzania kutokana na Wakenya kushikiliwa na kuzuiwa kuingia Tanzania

    Mrudi mwanao ukifikiri kuwa mambo ya nyumbani kwako hakuna Mtu wa kuyaingilia utasimulia wafungwa wenzako.
  8. K

    Familia ya muimbaji Christina shusho

    Hayo mafuta alipakwa na nani? Maana Kibiblia Kila aliyepakwa mafuta alipakwa alipakwa na Mtu fulani aliuetumwa na Mungu. Sasa huyu wako alipakwa na nani? Na ilikuwa lini,? Na wapi?
  9. K

    PreGE2025 Mbunge Saashisha kuna hujuma dhidi yako na serikali jimboni kuhusu umeme wa REA kitongoji cha Mlimafaru

    Naomba msaada kwa anayeweza kupenyeza ujumbe huu kwa Mh.Mbunge Saashisha Mafue wa Jimbo la Hai na Serikali sikivu ya Ccm. Hivi karibuni Serikali ilianza zoezi la kusambaza nguzo za umeme wa Rea kwenye vitongoji kadhaa vya wilaya ya Hai. Kwenye kitongoji Cha MLIMAFARU kilichopo kijiji Cha...
  10. K

    Wanafunzi 210,578 wa Darasa la 4 wamepata Daraja E kwenye Mtihani wa Upimaji, 116,251 wamefeli Kidato cha Pili

    Kuna mtoto hapa kati ya masomo 9 kapata F4,D,2 na C,3.Kwa wale mnaoujua vyema mfumo wa Elimu nchini.Huyu anaenda kidato Cha tatu?
Back
Top Bottom