Kundi la wanawake 79 walioteuliwa kugombea NEC TAIFA wanafaa wote kuivusha CCM 2025, wote hao wapewe nafasi muhimu ndani ya CCM au serikalini.
Ukiangalia CV zao zimetulia na vetting ilifanika vizuri.
HONGERA SANA DR SAMIA SULUHU HASSAN
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Shaka Hamdu Shaka leo Jumanne Septemba 27, 2022 amesema chama hicho kimefuta matokeo ya chaguzi tano za UVCCM pamoja na kusimamisha chaguzi zaidi ya tatu za Jumuiya ya Wanawake, kutokana na ukiukwaji wa maadili, rushwa na upangaji safu za uongozi.
Chanzo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.