Recent content by kisa

  1. K

    King'amuzi cha Digitek

    acha kudanganya watu. king'amuzi gani kinaonyesha picha ya HD wakati matangazo hayarushi kwa mfumo wa HD?. kwa tanzania hakuna TV station inayo rusha matangazo kwa HD.
  2. K

    Silaha za viongozi

    Kuna gazeti moja la leo lime report kuwa naibu waziri wa nishati na madini ameibiwa vitu vya thamani ya tshs 23mill ila hawakumuibia bastola na SMG.....hivi jamani SMG si silaha ya kivita, je inaruhusiwa kumilikiwa na raia?
Back
Top Bottom