Samahani naomba kupata ufafanuzi hapa. Nna shida ya kua nilikosea nikaeka barua ya maombi ambayo haina sahihi. Nikienda psrs naweza kusaidiwa hili ili nieke yenye sahihi?
Niliusoma mkataba vizuri sana na haya yote hayakusemwa. Ni kwamba hawa watu wamekuja kubadilika kwa maneno makavu bila kufuata mkataba waliouandika wenyewe. Na ingawa wanajua kua wamekosea na wanatakiwa kurudisha hela, ambapo hata mwanasheria wao ambae ndie ameweka mhuru kwenye mkataba...
Mimi sijui ni watu hamjaelewa. Ningekuwa nataka sana hio gari sana ningekubali hayo masharti mapya ningechukua gari mradi niwe nayo. Ieleweke kuwa gari walileta ila makubaliano ndio yakabadilika. Mbona kuna watu pale wamechukua mkopo wa gari zao.
Mimi tu niliona sio sawa na sio lazima kulipata...
Mh. Nimejiuliza kama nijibu kiufasaha ila nimeona ya nini… hata hivyo hili ni jukwaa la wengi na maoni ya watu yatakuwa tofauti tofauti pia, ndio uzuri wa mawazo huru.
Mimi ninaweka hapa sio kwamba natafuta huruma humu wala kwamba nitapata haki yangu humu, hapana. Ninatoa tu tahadhari ya...
Mkataba upo na ulisigniwa na una mhuri wa mwanasheria. Na mpaka kumpata mwanasheria nilikaza sana ili nijilinde kisheria. Nadhani hawa jamaa ni watu ambao wanachukulia vitu poa tu.
Hii ni kampuni inaitwa Orbit Group Limited (Orbit tz) inayoagiza magari kutoka nje ya nchi. Biashara hio inahusisha pia kutoa mkopo wa mpaka miaka miwili ili kukamilisha gharama ya gari.
Sasa hawa watu, kuna taarifa wanamficha mteja na wanakuja kukwambia baadae sana ambapo pengine unaweza...
Sijakimbia. Napoteza mda na charge ya simu kubishana na kichwa cha kamongo. Toka juzi kichwa kigumu hakielewi hicho ni cha kupikwa kikanywea supu.
Mtaani kwetu hamna bodaboda.
Wenye hasira ni nyinyi mkiona mtu hasifu mnafoka kama mmeibiwa wake. Mkisifu serikali nyinyi inatosha. Sisi wengine hatuisifu mbona mnatulazimisha😂.?Yani jamii forum ni forum huru na ntaandakia nnavoona mimi. Wewe sifu mimi sitasifu. Imeisha hiyo. Tanzania ni nchi maskini na ili watu wake...
Wewe tatizo una maisha duni unadhani mtu kutaja kuku ni kuringisha ni mambo ya kawaida kutaja kuku bwana mdogo. Kutaja chakula ni kosa? Mbona una akili mgando? Ningetaja dagaa bado ungeona naringisha? Wasifiaji serikali mna vichwa vizito kama kamongo. Kama unakula kuku na hao wenye maisha ya...
Mazito kwako ni wewe usiyejua dunia inaendelea kwa soko huria na uhuru wa watu kufanya kazi popote mradi wanakidhi vigezo vya kiutendaji na sio uraia. Vita za kiuchumi zinahitaji akili na kupigana kiuchumi sio mambo ya kizamani ya kuzuia kutoa vibali. wewe unayesifu madaraja yaliyobatizwa Jina...
Una matatizo sana na hata hujui yanaanzia wapi. Nilikwambia kama unanikataza kuongelea kuhusu nchi yangu njoo kwangu unipige. Nilisema kitu nilichokua nafanya mda huo na ni kula kuku na bia ya baridi. Kama ningekua nafyeka majani bustanini ningesema. Ningekua nafua ningesema. Kama ningekua...
Aliyekuringishia nani wewe umejihisi. Kwenu labda mtu alitaja kuku na bia anakua anaringishia. Wengine tumaona ni vitu vya kawaida. Yani unaona kuku na bia ni vitu vya maana sana kwamba mtu akivitaja kwenye mazungumzo ya kawaida ameviringishia ndo maana macho yakakutoka kama utoboe keyboard...
Ona sasa mi nimesema nakula kuku na bia kwangu wewe ushaona naringishia😂. Ndio maana ukisikia neno Mkenya kapata kazi kwenu unaumia sana. Kama kuku na bia tu vinakutoa roho hivi una haki ya kutoa mapovu mkenya kupata kazi. Mungu atakusaidia, kidogo kidogo hivo hivo utafika na wewe utakua huko...
Kwetu ni Tanzania, halafu mbona hasira mnazo nyie hadi mnafukuza mtu nchi. Yani mi niko hapa kwangu njooni mnitoe sitoki na nchi naendelea kuisema kama kawaida.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.