Recent content by KIRKANKAA

  1. K

    JamiiForums Tanzania Wanaoharibu Bunge ni Kina Nani?

    Wabunge na viongozi wa bunge wasio na uchungu na umasikini ujinga na maradhi ya watanzania,wasiojiamini na waliopewa uongozi kama zawadi!! mtu mwenye dira na malengo ni mwenye ujasiri hekima akili mvumilivu na mwenye kutetea hoja za kitaifa badala kuwa shabiki tu wa mambo au watu fulani huyu ni...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Utetezi juu Ya TISS; Jee Wanaoitetea wanajua Tofauti ya TISS ya Nyerere na TISS ya Kikwete

    TusijiteteE sana tutafute suluhisho la matatizo ya TISS.TISS itoe taarifa za matatizo yaliyopo kwenye jamii pale tu yanapoanza sio kuacha hadi yanaota mizizi na kuleta madhara kwa jamii!
  3. K

    JamiiForums Tanzania Utetezi juu Ya TISS; Jee Wanaoitetea wanajua Tofauti ya TISS ya Nyerere na TISS ya Kikwete

    naishauri serikali ipokee maoni ya wabunge na kuyafanyia kazi na baadaye itoe mrejesho wa kitaalamu kuhusiana na madai hayo badala ya kubishana na wabunge waliotoa shutuma! mimi binafsi naona serikali inakuwa kama inajitetea sana badala ya kutoa suluhu ya tatizo,hivi kuitetea TISS ndio suluhisho...
Back
Top Bottom