Recent content by kirilo

  1. kirilo

    WanaJF, Sijielewi ninatatizo gani

    STD gani inaeza ambatana na dalili izo
  2. kirilo

    Kibuti ambacho hutakaa ukisahau!

    Hahahahaahahha
  3. kirilo

    Utambulisho wa "Wakili Msomi" kwa Mawakili au wanaSheria

    Nilicho maanisha ni kwamba elimu ya chuo kwa upande wa sheria, wanasheria wanajifunza a wider variety of thing coz sheria ina cover a bigger scale of things compared to other courses kama engineering, accounting, medicine or any thing i can thnk of kwa sasa #ila nna mashaka na theology, those...
  4. kirilo

    Utambulisho wa "Wakili Msomi" kwa Mawakili au wanaSheria

    Hahahaha... baloney!!! Ila ina some truth to it, though iyo sio sababu ya wao kuitwa learned SAUT kuna a total of 79 courses over a period of 4 year and 8 semisters (9 courses per semister) in Law, ziki range from accounts(tax law),medicine (health law), international laws, labour laws. Kwaiyo...
  5. kirilo

    Utambulisho wa "Wakili Msomi" kwa Mawakili au wanaSheria

    Kwa sasa ni mbwembe, ila zamani ilikua ilikua na tofauti kubwa.
  6. kirilo

    Utambulisho wa "Wakili Msomi" kwa Mawakili au wanaSheria

    Exactly... court martials! Pls help
  7. kirilo

    Utambulisho wa "Wakili Msomi" kwa Mawakili au wanaSheria

    Hapo nyuma enzi za kings and queens in england, advisor or council walikua referred to as kings council au queen's council, ila sehemu nyingine walikua refered as senior council... kwaiyo on royal envoys walikua refered as learned council as in learned in law council. Ilo jina over time likawa...
  8. kirilo

    Utambulisho wa "Wakili Msomi" kwa Mawakili au wanaSheria

    Jamani nna swali, je jeshi la wananchi tanzania lina wanasheria wake kwaaji ya martial Court au ina kuaje, plus requirements kujiunga ni zipi na mshahara au allowances jumla zina amount to sh.ngapi
Back
Top Bottom