Anaitengeneza dunia! Hahaha!
Si angeanza na nyumbani? Nyumbani kwake mwenyewe wananchi hawako huru kujiamulia mambo yao halafu unasema lengo lake ni kuitengeneza dunia.
Kweli mapenzi hupofusha. Mimi nikuambie ukweli mchungu kwamba. Si Mrusi, si mchina wala si mwarabu ambaye anaweza kuwa na...
Sasa wanaowasumbua Israel ni waislamu wa kiarabu halafu wawachie tena waarabu chotara wa Eritrea ambao ndio waislamu wa imani kali kuliko Hamas? Hata kama ni wewe ungekubali watu ambao unajua kabisa watakuja kuwa mwiba kwako baadaye waje nchini mwako?
Itoshe tu kusema afadhali wazungu kuliko...
Mimi ni mkristo na kama mkristo au mwislamu akiamua kuinunua biblia na kuichoma wala mimi siwezi kuumia kwa chochote maana najua atapambana na Mungu wake.
Sisi wakristo tunajua Mungu ni Mkuu/ mkubwa kuliko kitu chochote kilichoko mbinguni na duniani hivyo si wa kupiganiwa bali ndiye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.