Recent content by Kiramamoshi2019

  1. Kiramamoshi2019

    Computer supplies Tz

    Daah Nikipata Hiyo Connection itakuwa Njema Zaidi sasa Sijui nayapataje hayo maduka ya Wasomali na wahindi
  2. Kiramamoshi2019

    Computer supplies Tz

    Mzigo ninaohitaji ni wa Jumla ambao ni zaidi ya Mil 10
  3. Kiramamoshi2019

    Computer supplies Tz

    Kumbuka Me Pia Ni mfanyabiashara Nahitaji kuchukua kwa Bei za Jumla Na mimi nikauze pia
  4. Kiramamoshi2019

    Wauzaji wa Computer za jumla

    Natafuta wauzaji wakubwa wa Computer za Jumla hapa Dar es salaam nahitaji kuchukua Mzigo mkubwa Mwenye namba zao naomba anisaidie pia na Ofisi zao zilipo
  5. Kiramamoshi2019

    Computer supplies Tz

    Natafuta Wauzaji wakubwa wa computers na Vifaa Vyake hapa tanzania naweza kuwapata wapi Na Ofisi zao Zipo wapi kwa Hapa Dar es salaam
  6. Kiramamoshi2019

    Vidonda Vya Tumbo + Typhoid + kikohozi

    Nahitaji Kujua Dawa Zitakazo nisaidia Kutibu haya Magonjwa niliyonayo Nimeenda Hospitali Kupima Nikakutwa wadudu wa H pylori,Typhoid Vile nina Kikohozi Baada ya Hapo Daktari Ameniandikia Esomeprazole,Metronidazole(Flagyl) Pamoja na Ciproflaxin hii ina maana Anatibu Haya Magonjwa Yote kwa wakati...
Back
Top Bottom