Recent content by kiraghunkuri mwisaye

  1. K

    JamiiForums Mauwaji ya Viongozi wa Dini ni Njama za Kisiasa

    nchi hii tuna mambo ya ajabu sana kuna watu wanatizama lakini hawaoni iko siku mawe yatasema
  2. K

    JamiiForums Nape, Umeyasema haya kwa kukusudia, Umetumwa na Chama au Umekosea kwa bahati mbaya?

    Nape hana kipaji cha uongozi anasafiria nyota ya baba yake huwa anafanya vitu gizani baadae anajisahau anaropoka mchana angalia mfano alivyoengineer ununuzi wa Juliana shonza baadae akiwa hadharani karopoka ,ni mwanadamu mwenzetu tumpende lakini anayosema yanathibitisha alivo debe tupu,nani...
  3. K

    JamiiForums TUJIULIZE HAYA MATOKEO YA F4 TATIZO NECTA au NDALICHAKO au SERIKALI au WANAFUNZI

    Kwa haraka haraka baadhi ya wasomi,wanahabari,maafisa elimu na wananzengo wa Tanzania wamejadili kuhusu matokeo wengi wameelekeza lawama kwa wanafunzi lakini mimi kuna kitu nakifuatilia sana kwanini tangu aingie ndalichako baraza kuna hujuma za wazi zidi yake je hizo hujuma hazipo kwenye matokeo...
  4. K

    JamiiForums Old Bagamoyo Road yabatizwa 'Mwai Kibaki Road'

    tatizo la watz ni kujipendekeza kwa wageni ili watupe misifa ya kijinga eti wakarimu siifahamu kenya ila sina uhakika kama kuna kikwete road pamoja na umuhimu wake wakati wanazidi kuuana
  5. K

    JamiiForums BBC: Rais Kikwete aruhusu Majasusi kutoka nje kuja kuchunguza mauwaji ya Viongozi wa Dini Zanzibar

    Wenje aliwahi kusema hawa watu ni narrow thinkerz wakadai anawatukana,Tz ina Usalama wa taifa,polisi,jwtz,vikosi vyasmz vyote vimeshindwa?Hakika nchi hii imekosa mtu wa kututoa hapa tulipo na tumekwama kwelikweli
  6. K

    JamiiForums Mauaji ya Padre Zanzibar: Rais Kikwete awataka wakatoliki kutulia, linashughulikiwa

    tatizo letu watz tupotupo tu kama makuku yakizungu kila tunachoambiwa tunakubali hatuhoji na tukihoji ni kwa maslahi binafsi siyo ya umma
Back
Top Bottom