Recent content by Kirabhe Kibhe

  1. K

    JamiiForums Tanzania UVCCM wamtolea uvivu Alberto Msando, wamtaka awaombe radhi

    Tatizo hajui hata Itifaki za CCM. Umeambiwa 'Kusalimia na Kujitambulisa' unaanza Hotuba na kushutumu viongozi wa UVCCM?? Kwa wadhifa gani ulionao ndani chama au jumuia? Huwezi kujifunza hata kwa viongozi wa Chama wanapopewa hizo nafasi husema nn?? "Mnaotoka CHADEMA acheni UANA-HARAKATI...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu ajivua Ubunge; ajitoa CCM na kuomba kujiunga CHADEMA

    Acha amfuate Maumvi,Kigwangala amemgwangalisha!!!!!
  3. K

    JamiiForums Tanzania CCM inapoteza mwelekeo na dira yake kama ilivyozoeleka.

    Mafisadi waondoke tu walitunyonya mno hata kama mtatoa Utetezi gani!
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mgawanyiko mkubwa ambao haujawahi kutokea umebisha hodi Tanzania

    Majipu yanapasuka menyewe sasa hapa patamu na wao waishi kama shetani!!!
  5. K

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Kushtakiwa kwa uchochezi katika Tanzania ya Magufuli ni "Beji ya heshima"

    Dhambi ya Kumtukana Baba wa Taifa hili Mwl. Julius Kambarage Nyerere ya kuwa "alizoea vya " Kunyonga! haikuachi salama, lazima iendelee kukuktafuna mpaka uishe' Pu......fu!
  6. K

    JamiiForums Tanzania Tetesi: ICC Ndani ya Tanzania

    UKUTA hawatapona,lazima waende ICC wakajibu Ukaidi na uchochezi wa kuvuruga amani ya nchi na kutaka kusababisha Machafuko japo haeataweza mbele ya Rais asiyejaribiwa!
  7. K

    JamiiForums Tanzania Fikiria leo hii Lowassa angekuwa Rais!

    Kila k2 kingekuwa ni HEWA! -RCs hewa. -DCs hewa. -RAS & DAS hewa. -Wakurugenzi hewa. -....... Hewa -... -yaaani baalaaaaa...!!!
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya Polisi: Polisi wasisake Mchawi. Wajilaumu wenyewe, Wabadilike

    Ukiua damu inakulilia" Hakuna pa kujificha na kujitetea eti Mauji ya askari ni kwa sababu nguvu kubwa imeelekezwa UKUTA,Mungu huyu ninaye muabudu mimi naamini atawaumbua na kuwafichua wote waliotekeleza Mauji ya Askari hawa ambao hawakuwa na hatia,naomba Jeshi la polisi wasicheke nao...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kitwanga aingia tena NIDA kupitia Massawe

    Mbwiga ww' wasukuma hawana majivuno we kama ni Mrundi useme, acha uchochezi!
  10. K

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lapiga marufuku mikutano yote ya ndani na nje ya vyama vya siasa

    Polisi kamatilia hapo hapo ili Uyaokoe haya Manyumbu maana tayari yamekuwa yakijazwa ujinga ktk vikao vya ndani kwamba hayatashughulikiwa na polisi,ili yajitokeze na yaandamane yapigwe ili vigogo wa CDM wapate kick ya kuuza video za kipondo cha polisi kwa Wafadhili wao Ulaya"
  11. K

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya Mhe. Freeman Aikaeli Mbowe kuhusu madai ya NHC

    Ukitaka Raha" Nunua yako' au 'Fungasha vyako Uondoke"!
  12. K

    JamiiForums Tanzania Meya Jiji la Arusha na viongozi wa CHADEMA Mkoa wa Kilimanjaro wamekamatwa na Polisi

    Wewe' vikao vya ndani vya vyama vya siasa vimepigwa Marufuku" so hilo sio kosa.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Jaji Mutungi: Uwepo wa Maandamano, utaamuliwa kwenye Mazungumzo ya tarehe 29 na 30

    CCM msipeleke mwakilishi kama mlivyofanya kwa wanaojiita HAKI ZA BINADAM" CDM wanatafuta kick' ya kisingizio cha mwafaka' Waandamane tu ili wakione "CHA MTEMA KUNI"
  14. K

    JamiiForums Tanzania UKUTA: Prof Mkumbo awataka wapinzani kutumia akili zaidi

    Prof. Anamaanisha wasiwatangulize watoto wa maskini,Watangulie wao tar.mosi sept. ili mabadiliko yaonekane kuanzia kwenye Maandamano!
  15. K

    JamiiForums Tanzania Wasifu (CV) ya Mrisho Gambo aliyeteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha

    Maskini Godbless Lema!!!!
Back
Top Bottom