Recent content by kiplagati26

  1. kiplagati26

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete amtimua Mwenyekiti wa Bodi Bandari

    Bandari ilionza zamani
  2. kiplagati26

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Kila la kheri Mh Rais Dk.John Pombe Magufuli sasa wakati wakuwatumikia watanzania umefika, kwanza katiba ya Jaji Warioba ni muhimu sana kwa watanzania hasa kipindi hiki cha mabadiliko ya kiuchumi,kidemokrasia na kisayasi. Dunia huru inahitaji Mabadiliko ya kiuchumi,kisiasa na kielimu ambayo...
  3. kiplagati26

    JamiiForums Tanzania Barua ya Wazi kwa familia ya Ali Hassan Mwinyi

    Amin
  4. kiplagati26

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nini kitangulie, haki au amani?

    Indeed
  5. kiplagati26

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nini kitangulie, haki au amani?

    Yakobo 3:18 Uadilifu ni mazao ya mbegu ambazo wapenda amani hupanda katika amani. Kwa matiki hiyo tunatafsiri neno maadili hapo kuna usafi wa haki, uwazi, na wajibu
  6. kiplagati26

    JamiiForums Tanzania Mwita Waitara: Apigilia msumari umeya Ubungo, asema Boniface Jacob siyo Meya tena

    Nchi inawatu waajabu na viongozi wahuaji na wanao weza kusababisha machafuko kama Hawa sijuwi inajenga chuki... Sent using Jamii Forums mobile app
  7. kiplagati26

    JamiiForums Tanzania Mbona Wabunge wa Zanzibar wanatembelea magari ya hadhi ya chini na kulala guest za kawaida sana?

    Mmh hapana Sent using Jamii Forums mobile app
  8. kiplagati26

    JamiiForums Tanzania Kwa vile Corona haina kinga wala tiba, Mnaonaje mahospitali yetu pia yakaruhusiwa tutumie tiba asili na tiba mbadala ikiwemo Faith Healing?

    Hatari ya ugonjwa wa COVID-19 - JamiiForums Uzi nilieleza toka mwanzo hatua za haraka nakumbuka mkuu Pascal ukuunga mkono hadi sasa. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. kiplagati26

    JamiiForums Tanzania Kwa vile Corona haina kinga wala tiba, Mnaonaje mahospitali yetu pia yakaruhusiwa tutumie tiba asili na tiba mbadala ikiwemo Faith Healing?

    Mkuu, Pascal huja yako ya msingi sana lakini Jana nilishindwa kutoa maoni yangu maana yulitofauti kidogo. Tunahitaji kuchukua hatua kama familia sasa maana Hali sio nzuri niliwahi kutoa uzi hapa. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. kiplagati26

    JamiiForums Tanzania Mtatiro: Nilikuwa Kiongozi CUF huku nikiamini CCM ndio chama bora

    Dah njaa inaniuma Sent using Jamii Forums mobile app
  11. kiplagati26

    JamiiForums Tanzania NCAA wasitufanye wajinga kutumia Tsh. 1.1B kwenye mikutano 20 na semina 6

    Wewe kinakuuma nini kwani hawatoi Gawio Serikalini, si wametoa 23Bilioni, waache wafanye kazi kodi wamelipa zaidi ya Bilioni 30. Shida iko wapi.
  12. kiplagati26

    JamiiForums Tanzania Coronavirus: Rais Magufuli awaomba Watanzania kumuomba Mungu kwa siku tatu

    [emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787] Sent using Jamii Forums mobile app
  13. kiplagati26

    JamiiForums Tanzania Salary Advance: Janga linalowatafuna Watumishi wa Umma

    Ni kweli lakini Mshahara wako kuchukuliwa salary advances kwa riba hapana CRDB wamekuwa wakitoka Riba kubwa mshahara wa kwako why mshahara unaingia kwenye Benk husika au NMB wao wamekuwa na Reg ya kuomba Salary Advances jamani hatari sana. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. kiplagati26

    JamiiForums Tanzania Salary Advance: Janga linalowatafuna Watumishi wa Umma

    Hii itaendelea kuwatesa watumishi hakika yani hatari kwa kweli. Kwani si mshahara wao kwani wakatwe Riba jamani way this. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom