Recent content by Kipepeo cheusi

  1. K

    Sawa walemavu wanafuturu leo Diamond jubilee? Je, watarudi vipi majumbani kwao?

    Jana walemavu wamepata shida sana kurudi majumbani kwao kuna mpaka waliofika saa 8 usiku kisa futari
  2. K

    Sawa walemavu wanafuturu leo Diamond jubilee? Je, watarudi vipi majumbani kwao?

    Angalia upanga sasahivi jinsi walivyotapakaa
  3. K

    Sawa walemavu wanafuturu leo Diamond jubilee? Je, watarudi vipi majumbani kwao?

    Kutakuwa na usafiri maalumu wakati huu wa usiku kuwapeleka makwao ama wakishafuturu basi kila mmoja ataendelea na njia yake? Nauliza tu maana isije kuwa kero ya usafiri inazidi hata gharama ya chakula kwa kila mtu
  4. K

    Makonda wape Wachezajinwa Taifa Stars Milioni 10 zao ulizowaahidi

    Muda unaenda awape ahadi ni deni
  5. K

    Makonda wape Wachezajinwa Taifa Stars Milioni 10 zao ulizowaahidi

    Makonda alipe wachezaji milioni 10 zao wananung'unika sana
  6. K

    Makonda wape Wachezajinwa Taifa Stars Milioni 10 zao ulizowaahidi

    Inasikitisha mpaka sasa bado hujawapa hiyo pesa wachezaji ambayo uliahidi kwa mbwembwe. Fanya kuwapa ili kuinua morali yao kuelekea kwenye michuano ya afcon Ni hilo tu kwa sasa
  7. K

    Haya kama yameshindikan awamu hii basi hayakuja wezekana tena

    1.kudhibiti ajira holela za raia wa kigeni 2.kudhibiti wawekesaji toka nje wamachinga 3.polisi kunyanyasa raia 4.highway kutolewa matuta(bamps) 5.bidhaa feki kuingia nchini
  8. K

    Kwa kutumia makamanda hakika mahasimu wako na wapiga dili umewaweza

    Hili hakika umewaweza wale wote waliokuwa wakotumia mianya ya udhaifu wa kiuongozi kufanikisha yao. Hii idea ya kuweka makamanda kila sekta ndo maana nchi imetulia na hujuma zimepungua Sasa hivi Bandari kuna ma soldier Mwendokas kuna ma soldier Muhimbili kuna ma soldier Airpot ndio usiseme Sgr...
Back
Top Bottom