Recent content by Kipenseli

  1. Kipenseli

    Hivi humu hamna Jukwaa la Uislamu?

    Itafikia kipindi (Wakati ambao ushachelewa) ndio utajua na kugundua umuhimu wa dini kwenye maisha yako kuliko hayo mambo mengine ambayo unayapa kipaumbele
  2. Kipenseli

    Hivi humu hamna Jukwaa la Uislamu?

    Ahsante kwa taarifa
  3. Kipenseli

    Hivi humu hamna Jukwaa la Uislamu?

    Kwahiyo brother kwa akili yako unahisi ni sawa kufata habari specifically alaf unakutana na habari nyingine? Jukwaa la Dini (It means all included)
  4. Kipenseli

    Hivi humu hamna Jukwaa la Uislamu?

    Ni opinion yako , mawazo ya mtu yaheshimiwe Nielekeze ofisi za BAKWATA
  5. Kipenseli

    Hivi humu hamna Jukwaa la Uislamu?

    Sasa shida iko wapi? Mtu kupata elimu ya dini yake specifically kupitia JF??
  6. Kipenseli

    Hivi humu hamna Jukwaa la Uislamu?

    Mawazo hauajazuia dini nyingine pia kua n ajukwaa lao, sikumaanisha liwe jukwaa la uislamu pekee, jamaa mbona huna akili??
  7. Kipenseli

    Hivi humu hamna Jukwaa la Uislamu?

    I mean just some thoughts about our relagions rather than criticisms n.k Mioaka ya dini iheshimiwe lakini sio kujiclassifu
  8. Kipenseli

    Ndugu zangu mnawezaje kunisaidia kuoata hizi Qasida?

    Madrassa Vingunguti - Yatima Albayana Nur Fauqa Ya Nour Kiumbe Acha Ubaya Kuna Qasida ilikua inatumika kama Soundtrack (Background) ya Kipindi cha Safina , Radio Sauti ya Quran miaka ya 2009-2010 hivi
Back
Top Bottom