Recent content by Kipengeleto

  1. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yeyote Arusha

    Hata kuanzia 200,000 sio mbaya,maana Nina familia mkuu
  2. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yeyote Arusha

    Ni kweli kabisa mkuu,nimesoma Cdti tengeru nipo Arusha,nilikua nafanya kazi za part time tu, na kuapply gvt lkn sikubahatika kupata.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yeyote Arusha

    Niconnect basi nipate hyo kazi mkuu
  4. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yeyote Arusha

    Sana aisee,imenipotezea muda sana,nkitaka kwenda kusoma Tena,watoto nao wanasoma inakia shida Wat
  5. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yeyote Arusha

    2013 mkui,Hadi nimemkata tamaa kabisa
  6. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yeyote Arusha

    Habarini za jioni wadau wa JF, Mimi nimhitimu wa chuo mwaka 2013,Nina degree ya maendeleo ya jamii,naomba kwa mwenye connection yeyote ya kazi, sichagui Wala sibagui kazi yeyote nafanya. Asanteni
  7. K

    JamiiForums Tanzania Serikali: Ukarabati wa Uwanja wa Benjamin Mkapa utagharimu jumla ya Tsh. Bilioni 31 hadi kukamilika

    Halafu wanasema serikali haina hela ya kuajiri watumishi wengi,wakati wanachezea pesa namna hi aisee.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda kumjengea nyumba bibi anayenyanyaswa na Familia yake kisa hana Mtoto

    Jamani nitampataje na Mimi anisaidie nipate kazi mwee?
  9. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ninayetaka kumuoa ana mchepuko mwingine

    Moyo wanbinadamu ni kichaka kikubwa sana,usikute waliachana na baba mtoto kwa ajili hyo ya uchepukaji,kua making asikuletee magonjwa.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Hai, Kilimanjaro: Mama na watoto wake walia kwa uchungu baada ya nyumba yake kubomolewa na serikali

    Na hizi mvua na mafuriko wanalazwa nje?!!!!sio haki kabisa
  11. K

    JamiiForums Tanzania Online inteview za utumishi

    Duuu!mfumo ushaanza eee?
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kinachoendelea Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura 2024

    Watajuaje km ni mwanachama au sio mwanachama?
  13. K

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kuandikiwa Proposal kwaajili ya kuomba kazi

    Niliomba kazi mahali,wakaniambia niandike proposal,sijaitwa mpaka leo😣😣
  14. K

    JamiiForums Tanzania Niliomba kazi kimasihara naona ntaipata na siko motivated

    SI utaelekezwa na wao wenyewe?
  15. K

    JamiiForums Tanzania Hivi ni mimi tu haya maisha yanataka kunikataa?

    Usiwaige wa marekani bwana,wee angalia maisha yako.nasisitiza tena usiache kaziiiiiiiiiiii kitaa kigumu angalia namna ya kuboresha kipato.
Back
Top Bottom