Mimi nimesoma Highland, nimemaliza 2003,kidato sitaji kwa sababu humu hatufahamiani,namkumbuka headmaster anaitwa Mr Ramadhan,sijajua kama bado yupo au amestaafu,ila nimemkuta mwaka 2013 wakati naenda kuchukua leaving certificate
Je unadhani mama lulu alikuwa na maisha mazuri, kwa taarifa yako ni mnywaji mzuri wa taps,na lulu ndio aliwToa kimaisha, fanya utafiti utaelewa hili ninalokwambia
Kila kichaa ni TISS, tuache huu uongo na uzushi,watu wanacheza na kazi za watu kwa kuishi kwa mitazamo ambayo ni kubuni na kizushi
Je unadhani mama lulu alikuwa na maisha mazuri, kwa taarifa yako ni mnywaji mzuri wa taps,na lulu ndio aliwToa kimaisha, fanya utafiti utaelewa hili ninalokwambia
Mama ake Kanumba alikuwa wapi wakati kijana wake anamwarib katoto ka watu,tuukemee umaskini, ni kitu kibaya sana, huyu binti asingepatwa na majanga haya kama wazazi wake wangekuwa financially fit
Kakukosea nini huyu binti,mbona una hasira nae, hivi yeye kufanywa mtumwa wa ngono akiwa na umri mdogo unaona sawa, au huna mtoto wa kike ukaona uchungu wake, hebu kuwa na huruma na mtoto wa mwanamke mwenzio
Huyu mama atakuwa mchawi asije kumfanya mtoto wake afufuke, maana aliyoyatenda alipokuwa hai yanatosha kumfanya akae kimya, lakini huyu mama hajitambui
Dooh, pole sana Mkuu, dunia ina mengi, mtoto hana mipaka ya kutengamana na wenzake,kwa hiyo possibility ni ametoa kwa watoto wenzake, hususan kushea vitu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.