Recent content by kipe22

  1. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: Tutafanya kila tuwezalo kuhakikisha uchaguzi unafanyika kwa utulivu na amani ili kuwa na uchaguzi huru na wa haki

    Mkuu, hivi ikatoke kwenye huo uchaguzi Chadema kashinda, huyo askari anayetamba hapo kwenye hicho kikao atakuwa katika nafasi/hali gani?
  2. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mrema: Kama leo huna dola unawaza kufukuza watu wenye mawazo mbadala ndani ya chama, siku ukipewa dola itakuwaje?

    Mkuu, hivi huyu ndiyo yule mwaka fulani tulimpatia jimbo la Segerea kugombea ubunge wakati hajulikani jimbo vizuri hapo jimboni? , Jimbo ambalo kulikuwepo na binti mmoja alikuwa ameiva vizuri sana kisiasa na alijulikana hapo Segerea? Mkuu, hata Mzee Sarrawart kule Mbulu, Arusha; alishinda...
  3. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mrema: Kama leo huna dola unawaza kufukuza watu wenye mawazo mbadala ndani ya chama, siku ukipewa dola itakuwaje?

    Mkuu, kama unajitambua kuwa una uwezo wa kugombea uchaguzi na kushinda, kwa nini upoteze muda na chadema; nenda chama kingine - utashinda tu , mbona yule mwana mama wa Katavi (chadema) alishinda pamoja na matatizo yote yale. Usipoteze muda kwa kulalamika, chukua hatua. MAISHA NI MAPAMBANO
  4. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mrema: Kama leo huna dola unawaza kufukuza watu wenye mawazo mbadala ndani ya chama, siku ukipewa dola itakuwaje?

    Mkuu, mwanaume unatakiwa usiwe mtu wa kulalamika lalamika wakati wenzio wanakupuuza, HAIPENDEZI
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa FA ubadilike. Timu za ligi kuu zicheze wenyewe kwa wenyewe

    Uko sahihi Mkuu.
  6. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO PreGE2025 Lissu aondolewa Keko. Anapelekwa wapi?

    Mkuu, areje kivipi, kwani Mh.J.H hayupo, mbona anaweza tu.
  7. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO PreGE2025 Lissu aondolewa Keko. Anapelekwa wapi?

    Mkuu Malaria Sugu, Kambona anaingiaje hapa? Ebu tujuze connection yake.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wanajeshi jiondoeni kwenye siasa msije kupata fedheha!

    Halafu haifai na wala haipendezi kutoa siri kama hizo hadharani
  9. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mimi ni mmoja ya G55 sasa baada ya hapa tunafanyaje ndugu zanguni? Maana ni kama hesabu zimeenda hovyo

    Aaah Mkuu, mbona anatoka tu kabla ya April haija tuaga.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mimi ni mmoja ya G55 sasa baada ya hapa tunafanyaje ndugu zanguni? Maana ni kama hesabu zimeenda hovyo

    Mkuu, mimi na Mkuu, nadhani hao ni njia moja na N55 kuelekea kwenye rangi ya mizambarau, ua wewe unahisije?
  11. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mimi ni mmoja ya G55 sasa baada ya hapa tunafanyaje ndugu zanguni? Maana ni kama hesabu zimeenda hovyo

    Mkuu, unajua kwamba ile nyomi ya watu kwenye mikutano ile ya Lisu na Heche Kanda ya nyasa, ndio imewaponza hawa 55, na kutaka kugombea kwenye uchaguzi. .
  12. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mimi ni mmoja ya G55 sasa baada ya hapa tunafanyaje ndugu zanguni? Maana ni kama hesabu zimeenda hovyo

    Mkuu, Eddy una niangusha! Chama kina Makamu Wenyeviti wawili, hivyo jahazi linasonga mbele.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mimi ni mmoja ya G55 sasa baada ya hapa tunafanyaje ndugu zanguni? Maana ni kama hesabu zimeenda hovyo

    Mkuu, kwani kila Uchaguzi kuna huu utaratibu wa kusaini hizo form za maadili kupitia kwenye chama, ilivyo kwa Viongozi wa Serikali?
Back
Top Bottom