WAZIRI ABURUZWA MAHAKAMANI KWA KOSA LA KUKIUKA SHERIA ZA AJIRA
AAJIRI MSAIDIZI WAKE WA OFISI YA BUNGE AFANYA KAZI MIAKA KUMI BILA MKATABA WA AJIRA.
MIAKA KUMI YA KUMTUMIKISHA AMLIPA MAFAO YA LAKI MBILI TU.
NAIBU WAZIRI AMTISHIA KWA HAKUNA MTU WA KUMFANYA CHOCHOTE
Na Damas Makangale, MOblog...
aitoshi Kusema Usitudanganye Mimi Naongea Facts TRA ni Taasisi ya Umma Yeyote ana Access ya kwenda na atapewa Taarifa kuhusu Tuhuma za Kodi Nendeni Mnaogopa Nini?,Mamlaka ya EPZ ipo Ubungo Pale Kuhusu Mradi wa Kiwanda cha UchinjajiSio Dhambi Nendeni Mkaulize!-Kama habari zenu ni za Kweli sio...
Hii ni Chuki tu Kama Suala ni Tuhuma Kwa Nini Amwagiwe Tindikali??? Mfano Wangapi wamewahi kuwa na Tuhuma Mbali Mbali Nchi Hii Walimwagiwa Tindikali?? Fungueni Macho! Fungueni Akili! Acheni Chuki na Fitna Wapo Watu Kwenye PAYROLL wamefungua Akaunti JF,kuna Media Houses nk nk Ambazo Zimepewa Kazi...
Usilolijua Kama Usiku wa Giza,Wakati wa Awamu ya Pili Kila jengo hapa Mjini walisema ni La Mama Siti Mwinyi,Awamu ya Tatu la Mama Anna Mkapa,Ya Nne Maskini Mama Salma Wameshindwa Wamemtwika RidhwaniHSC haina Uhusiano na Ridhwan Nawajua Vilivyo Vijana Hawa Toka Wanaanza BiasharaIlikuwepo Kabla JK...
LAZIMA JAMBO HILI WATANZANIA WENYE AKILI WALIELEWE
Hawa HSC Biashara wanazofanya Wameajiri Watanzania Wenzetu,Wanalipa Kodi ya Serikali Corporate Taxes zote ,Sisi ni Fitnaaa tu ndio Zimetujaa,Hawa sio Malaika kuwa Watakosa Dhaifu moja Mbili,Hata Sisi tunaopost Tuache UNAFIKI hakuna Mtakatifu...
Tumekariri Ukasuku tuu,HSC inahusika na Nini Bandarini,No Research No Right to Speak!,Nendeni TRA Milango ipo Wazi HSC Kamwe Haijawahi Kumiliki hata Siku Moja Kampuni ya Kutoa Mizigo na Wala Haijawahi Kupewa Leseni ya Uwakala wa Forodha Kamwe Asilani,Mizigo wanayoileta ni Yao NaInatozwa Kodi...
HSC WANAJUA WANACHOKIFANYA...WATANZANIA WENGI WAVIVU UBUNIFU WA HAWA JAMAA UNAWACHANGANYA
DONT HATE THE PLAYER, HATE THE GAME...
Wakurugenzi wa Kampuni Hii wana Asili ya Saudia na Yemen,Wana Uhusiano wa Karibu na Viongozi wa Saudia Mtakumbuka alipokuwepo Balozi aliyepita wa Saudia waliwahi...
HOME SHOPPING CENTRE WAPO VIZURI WAPEWE PONGEZI ZAO.
Maadui wakubwa wao ni Wafanyabiashara Wakubwa waliojijengea MONOPOLY ktk Biashara Fulani na KATU KWA UDIKTETA hawataki Mwingine yeyote Aingilie!
Untouchables Vijana hawa Wamevunja Mwiko huu na wanachokipata sasa Kuchafuliwa ni Matokeo ya...
KWELI TUNAKURUPUKA
Mimi kama mdau katika hili naomba nichangie
tunachallenge kubwa sana hapa wafanyabiashara wanatumia makampuni mbalimbali na tunajua kampuni zote hapo nyuma bei za kodi zilikuwa sawa tu hakuna kampuni iliyokuwa ikitozwa eti zaidi kuliko nyingine, hii ni kumdanganya waziri kwa...
Dunia ya sasa hata ukienda nchi za wenzetu hawahangaiki kuna service inaitwa Door to Door delivery hata bongo ipo na waanzilishi walikuwa home shopping centre wakaja furniture centre leo hii hata pizza unaletewa mlangoni hivi hapa kunatatizo gani kama mtu kaamua kuwajali wateja wake na hapa ndio...
TUWE MAKINI NA KINACHOENDELEA TATIZO SIO HOME SHOPPING CENTRE WADAU
Kiukweli inasikitisha sana kuona watu wachache wanaosaidia wanyonge wanachukiwa kwa misingi yao ya kibiashara
mimi ni CHADEMA FOR LIFE ila kwa hili CCM haihusiki na watendaji wanamtia aibu MH.Jakaya hapa kuna mambo matatu...
WATU HAWAPENDI KUJUA UKWELI lakini hili halipingiki
1. Hapa issue ni makontena kukwama kwa kuongezwa bei na maafisa wa custom kwa sababu wanazojua wao. Aidha wanamrudisha nyuma Mhe. JK kwa kutaka achukiwe na maskini
2. Wenye makontena ni wafanyabiashara na si maagent
Huu ni umbea mwingine HSC ilikuwapo kabla hata mkuu wa kaya unayemsema kuingia madarakani na walikuwa wapo vizuri ile mbaya jamaa wamejipanga wanapiga kazi na ndio mana wanasikikafanyeniresearch na muache kurukia habari nendeni TRA mkacheki wanalipa kodi zote VAT, MAPATO,PAYE,NSSF etc kwa...
HAPA TUNAJICHANGANYA SANA WATU WANAKAZANA HOME SHOPPING CENTRE HEMBU ONA HAPA
1.Tatizo hakuna kiongozi anayenunua nguo kariakoo, sio waziri,kitilya, kamishna wala wake zao wala watoto wao. Hapa bei ikipanda maskini ndio watatembea peku na uchi, sio mawaziri. Nchi hii tumeamini maskini hana haki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.