Recent content by Kiparamoto

  1. Kiparamoto

    Msaada, ninahitaji sana kuonana na hawa members. Wananifikirisha sana na kunipa mtanzuko wa moyo

    Kuna huyu mkongwe anaitwa Mla Bata miaka ya nyuma alikuwa anatupa sana madini ya kuingia ughaibuni, ukisoma nyuzi zake unaweza ukadhani duniani hakuna shida wala kufa ni Bata tu 😂😂😂, siku hizi kawa adimu sana.
  2. Kiparamoto

    Tabia ya kukoroma inanivunjia ndoa yangu

    Inaendelea...... Baada ya harusi, miezi ilikatika, hatimae mwaka, ila ndoa ikaanza kugeuka ndoano, mke wangu alikuwa na visirani visivyoisha na kupenda kununa nuna, hasa zikijaribia siku za marejesho. Basi nikiona visirani vinazidi nampa pesa aongezee kwenye marejesho, hapo utaanza kumuona...
  3. Kiparamoto

    Tabia ya kukoroma inanivunjia ndoa yangu

    Wakuu, Kwa kuanza, mimi ni kijana wa makamu, umri 35+, mfupi, kibonge, mweusi tiiiiiiii! Nimeajiriwa kwenye NGO moja ya wazungu, alhamdulilah familia inaenda chooni. Nimebahatika kuwa na watoto wa3 kila mmoja na mama yake na nashukuru wanangu wanaishi vizuri lakini sikubahatika kuoa wazazi...
  4. Kiparamoto

    Ushauri: Anasema nimezidisha usela, niachane naye?

    Hapana ni mdada mtu mzima 25+, ni mtumishi wa umma.
  5. Kiparamoto

    Ushauri: Anasema nimezidisha usela, niachane naye?

    Mama mzungu, kumpenda nampenda na analijua hilo, shida anadai ni namna ninavyopresent hayo mapenzi ni kwa kihardcore.
  6. Kiparamoto

    Ushauri: Anasema nimezidisha usela, niachane naye?

    Najitahidi kumpa kadri ya uwezo wangu mkuu, vilivyo vya muhimu na visivyo vya muhimu, to be honest hajawahi kucomplain kwa upande huo. Nipo Dar.
  7. Kiparamoto

    Ushauri: Anasema nimezidisha usela, niachane naye?

    Masela tupo live na maisha hahah.
  8. Kiparamoto

    Ushauri: Anasema nimezidisha usela, niachane naye?

    Hizi ndio fikra zangu, kama kanielewa muhuni basi hana budi kuishi maisha yàngu, period!
  9. Kiparamoto

    Ushauri: Anasema nimezidisha usela, niachane naye?

    Kwani hata yeye si anaweza kucopy usela wangu mkuu.
  10. Kiparamoto

    Ushauri: Anasema nimezidisha usela, niachane naye?

    Nitajitahidi mkuu, shukrani.
  11. Kiparamoto

    Ushauri: Anasema nimezidisha usela, niachane naye?

    Wengine wanapenda hardcore's bwana.
  12. Kiparamoto

    Ushauri: Anasema nimezidisha usela, niachane naye?

    Wengine wanapenda hardcore's bwana.
  13. Kiparamoto

    Ushauri: Anasema nimezidisha usela, niachane naye?

    Wengine wanapenda hardcore's bwana.
Back
Top Bottom