Recent content by KIPAPATIO

  1. K

    Akina dada hii siku hizi ni fasheni au?!

    Sio fashen Maprosoo ila wanatimiza agizo la Mungu kuwa wakaijaze dunia!We huoni takwimu zinaonesha kuwa kuna upungufu mkubwa wa binadamu hasa wa jinsia ya kiume?Waache wazae waijaze dunia, hasa hasa wazae wanaume maana limekuwa tatizo kubwa kweli kweli. Na ikibidi, wanaowapa mimba wapewe elimu...
  2. K

    Kwa nini hutaki niende?

    Hilo nalo neno.
  3. K

    Kwa nini hutaki niende?

    Bora hata angekuwa na kanisa analoabudu we could do something, kifupi hata mlango wa kanisa haujui!Lol!
  4. K

    Kwa nini hutaki niende?

    [/I]Kwa kumbukumbu zangu jamaa alitoa mahari laki4 tu ambazo dogo ye yuko tayari kuzitoa hata leo. Hao wazazi wake wanadai mahari hairudishwi coz kawazalia mtoto. Tuliwauliza mahari was for mtoto au mke? Hawakuwa na jibu zaidi ya kujikanyaga tu. Hofu iko kwa hawa wapenzi wa sasa, jamaa...
  5. K

    Kwa nini hutaki niende?

    Issue ya mahari inakuwaje hapo Smile ukiachilia mbali mambo mengine? What if siku ya harusi aje na kusema this is my wife, tulizaa na mtoto na mahari nilishamtolea?
  6. K

    Kwa nini hutaki niende?

    Habari wana JF. Nina mdogo wangu ambae alikuwa anaishi na mpenzi wake kwa takriban 5 years, na mtoto walizaa pia. Wakati ulifika ambapo walitaka wahalalishe ndoa yao, lakini ghafla mwanaume akasitisha zoezi hilo akidai kuwa huyo mwanamke hakuwa na tabia nzuri, ingawa yeye (mwanamke) alidai kuwa...
  7. K

    Nicheke au nilie?

    Hapo kwenye bold ndo issue, ila ni muelewa, ntajaribu. Asante kwa ushauri
  8. K

    Nicheke au nilie?

    If you see him huwezi amini ana 70, he is strong kwakweli na alikuwa anacheza sana mpira ujana wake. You have a point, kumleta ma mkwe ni kuongeza familia ila its better. Now huyu ndugu yangu simuamini kabisaaaaaa! Husband asingekuwa mtu wa kusafiri ningeshapigia mstari kuwa keshamlamba huyu...
  9. K

    Nicheke au nilie?

    That looks fine ila kwanza I have to talk to my husband coz hajui hii kitu.
  10. K

    Nicheke au nilie?

    Sijiheshimu na sijatulia kivipi?Mbona mie hata hiyo avatar sijaiweka?Loh
  11. K

    Nicheke au nilie?

    Hilo pia ninaliwaza sana, baba anaweza kunigeuzia kibao nikaona dunia chun. Kumuondoa binti naweza ila I have mtoto mdogo, 1 year na yeye ndo nikiwa job anamtunza mtoto, kumpata mwingine itachukua muda kidogo. Niko njiapanda jamani, ningeweza kumkanya mdogo wangu but hope mnajua mapenzi yalivyo...
  12. K

    Nicheke au nilie?

    Hapo kwenye ushahidi ndo issue, wao hawafahamu kama niliwaona, na it was embarassing kweli kumkuta that baba I respect naked!Ivi hata yeye akigundua kuwa I saw him ktk hali ile itakuwaje? Kuhusu kumwambia mume wangu pia ni ngumu sana jamani though ni muelewa sana. Thanks for ure advice.
  13. K

    Nicheke au nilie?

    Habari wana JF, Ni mara yangu ya kwanza ktk jukwaa hili jamani, nipeni ushauri katika hili. Nimeolewa na nina mtoto mmoja. Baba mkwe wangu alikuja kwetu kwa ajili ya kutibiwa toka mwaka jana. Ni mtu mzima kwa kweli takribani miaka 70. Kiukweli keshapona kabisa, na mkewe yuko kijijini. Nina...
Back
Top Bottom