Recent content by Kipanya square

  1. K

    JamiiForums Tanzania MAHAKAMA YA UFISADI: Serikali yawasilisha bungeni muswada kuhusu mahakama ya ufisadi

    Its just a waste of public funds..
  2. K

    JamiiForums Tanzania MAHAKAMA YA UFISADI: Serikali yawasilisha bungeni muswada kuhusu mahakama ya ufisadi

    Hilo litakuwa igizo kama tu haya maigizo mengine yaliopita... Vidagaa tu ndio vitabanwa mwisho wa siku watashinda kesi on technical ground..
  3. K

    JamiiForums Tanzania The Economist on Magufuli: A President who looks good but governs impulsively

    Comment ya pili inampoint jamaa.my guts tells me that too. Somehow the guy looks snitchy to me... Might bee wrong but thats my feeling...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kuna watu Magufuli anawatumbua, akikuambia sababu utataka wafungwe maisha!

    The untouchables....
  5. K

    JamiiForums Tanzania Dangote atajwa kuwa chanzo cha kutumbuliwa kwa Kairuki TIC

    i agree with you mbeziboy.. Tanzania kuna vitu vingi haviko consistent kwenye ishu ya kodi hasa katika biashara na uwekezaji. Nadhani pia watendaji wenyewe hawana uelewa vizuri wa hizo sheria wanazozismamia. hili swala litatucost sana na kuturudisha nyuma. napingana na bi faiza anapodai kuwa ni...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mmemsikia Rais anajuta kuwa Rais!

    Ni kweli Ana tatizo kwenye huo upande.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Prof. Tibaijuka: Rais aache kutumbua nyama akayaita majipu!

    Mafisadi ni zaidi ya wa escrow...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Diaspora tunadharaulika sana awamu hii

  9. K

    JamiiForums Tanzania Diaspora tunadharaulika sana awamu hii

    Pamoja mkuu... Wengi ni chuki binafsi na kiroho cha kwanini tu.. Ndizo zinawasumbua.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Diaspora tunadharaulika sana awamu hii

  11. K

    JamiiForums Tanzania Utabiri wa Pasco wa JF. "Mwana JF Maarufu Sana, Kuukwaa U DC?. Unamjua ni Nani?!.

    Swali kwako ndugu Swali kwako ndugu mtabiri. Je walionyanganywa chao na kuwezeshwa wenye nguvu yakujiwezesha, ni vyema waendele na mfumo huohuo wa kugombea kwa vikaratasi? Nini maoni yako na je ni njia gani itakayo wahakikishia haki yao? Shukran....
  12. K

    JamiiForums Tanzania Zilizovuja: Serikali ilifungua akaunti mpya ya siri ya Escrow yenye harufu ya kifisadi

    Boss unashangaza sana yani bado una imani na Serikali ya magu chini ya CCM hii tunayoijua. Ambayo asilimia 90% ni majipu Hauoni kwamba hizi ni sinema tuuu.? Hakuna uzalendo wowote wa kweli hapo. Ni kunyanyasa vidagaa tuu.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa UKAWA ni nani wangekuwa MaDC, RC na Mawaziri?

    Hahaahaa...watu mnavituko
  14. K

    JamiiForums Tanzania Symbion Tanzania, TANESCO wabaruzwa kortini wakidaiwa bilioni 560

    Hahahaa...i like that..!!
Back
Top Bottom