Recent content by kipanga mlakuku

  1. K

    Mambo 5 ya kustaajabisha kuhusu Nanjilinji

    Nanjilinji ni kijiji kilichopo wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi yafuatayo ni maajabu 5 ya kijiji hiki; 1. Nanjilinji ni kijiji cha msimu hutokea wakati wa mavuno tu 2.Nanjilinji wakazi wake ni wafanyabiashara tu 3. Wafanyabiashara hupeleka mpaka unga wa sembe tani 70 kwa mwaka na yote huisha...
  2. K

    Kwanini viongozi wa Kiafrika wanapenda sifa kwa minor issues?

    Utasikia nimetengua uteuzi wa mfanyakazi x, sifa! Viongozi wa Afrika ni problem, hakuna mkakati wa kutatua matatizo bali zimamoto na maujiko, mtu kabakiza miezi michache kustaafu anafukuzwa na marupurupu yake juu.
  3. K

    JPM na matamko, ni kweli kuna mkakati wa kisera kuchange mfumo?

    Nauliza kuhusu matamko ya bwana mkubwa, daily anaibuka na jipya, hivi kweli yupo kimkakati au matukio oriented? mbona sioni impact kwa sisi the haves not? kweli kuna utashi wa kisera au moto wa kifuu tu after sometime utapoa? NAPITA WADAU
  4. K

    Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Magufuli anapolaani ubabaishaji wa serikali iliyoundwa na chama chake bila kuilaani ccm, ni kosa la kimkakati, asipokiri udhaifu wa ccm atashindwa kuirekebisha na akishindwa kuirekebisha ccm maana yake itayumbisha serikali yake and consequently atashindwa kufikia maono yake, it is better to...
  5. K

    Magufuli ana kasi au hamu?

    Kinachoimbwa kuwa "kasi" ya Magufuli ni nini hasa? ni ziara za kushtukiza? ni matamko ya "nitafanya....", hapa kasi nini? hii kasi mbona bado haijanigusa? nauliza tu hivi nikienda mhimbili sasa hivi hakuna mgonjwa aliyelala chini? kasi inapimwa kwa kutekeleza mipango! nachoona ni hamu ya...
  6. K

    Yaliyojiri Bungeni Dodoma 20 Nov, 2015: Hotuba ya Rais wa JMT kuzindua Bunge la 11

    wazaramo wana kamsemo kao kuwa kuongea ni jambo moja na kutenda ni jambo lingine, hakuna kosa kubwa kama kulewa maneno matamu ya hotuba, wiki ya pili sasa bado umeme unakatwa, i shall remain a doubting thomas!
  7. K

    Rais Kikwete kasema ujanani alikuwa mwanamichezo?

    Nimemsikia JK akijinasibu kuwa alikuwa mwanamichezo ujanani mwake na sasa ni mpenzi wa michezo, rais wetu alikuwa anacheza mchezo gani? alicheza kwa level gani? kishule, kitaifa au kimataifa? alichukua medali gani au aliweka rekodi gani?
  8. K

    Mashabiki wa Magufuli wekeni akiba ya maneno yenu

    Nawaandikia wanaoshangilia kauli za kibabe kama watakiona, watanikoma, waziri wa maji yeye ndo atakuwa maji, wekeni akiba ya maneno, ubabe hauna mipaka, na nyinyi mtashughulikiwa na huyo mnayeshabikia, wekeni akiba ya maneno yenu.
  9. K

    Radio Uhuru ina wasikilizaji? nyumbani kwangu marufuku kusikiliza upuuzi

    Tatizo la Radio ni kutotaka kukiri mapungufu ya CCM, kwa mfano hawaelezi ahadi ya kugawa ajira imeishia wapi? ni upuuzi, kuanzia leo napiga marufuku kusikiliza radio hii nyumbani kwangu, Tanzania kuna mambo ya ajabu sana.
  10. K

    Unajua maana ya kitimbakwiri? wasanii someni kamusi

    Nashangazwa sana na wasanii kuiunga mkono ccm, nimewashangaa sana ati wanashabikia ccm! inasikitisha sana, wameridhika kuendelea kuwa mafukara, ni vitambakwiri wana ukasuku tu, wanashindwa kuelewa nani kawafanya kuwa masikini.
  11. K

    GE2015 Freeman Mbowe atoa msimamo mzito kuhusu wanaoasi mageuzi

    Inavyoonekana dharau zitaigharimu CCM, haswa kumdharau Freeman Mbowe, huyu ni mtu anayejua definition ya SIASA, si rahisi kumwelewa anabadilika badilika mithili ya litmus paper, anatishia uhai wa CCM.
  12. K

    Kampeni ya "Malofa Katika Ubora Wetu"

    Wadau hii ni kampeni mpya inayoitwa "malofa katika ubora wetu" inayolenga kuionyesha ccm kuwa malofa ndo wenye nchi yao, jiunge nasi kwa kuikataa ccm, katika hili malofa hatuna cha kupoteza isipokuwa minyororo yetu!
  13. K

    Yaliyojiri: Lowassa kuchukua fomu ya Urais Makao Makuu ya CHADEMA

    Mtia nia kwa tiketi ya UKAWA Edward Lowassa ametangaza kuwa atafanya kampeni ya hoja kwa hoja dhidi ya CCM, ametoa kauli hiyo baada ya kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya CHADEMA kuwania urais, "tukijipanga tukajiorganize vizuri, tutapata ushindi bila shida" alieleza "mwaka huu ni hoja kwa hoja...
  14. K

    Siasa ya Tanzania Hainogi bila Lowassa, sasa ni mwendo wa potelea mbali

    Harakati za Kisiasa za Lowassa zinanifanya niendelee kuipenda siasa, ni dhahiri kuwa mtikisiko ni mkubwa Lumumba na Chimwaga. Kuna dalili zote kuwa Lowassa ataidhoofisha sana CCM, huu ni mwendo potelea mbali liwalo ni liwe!
  15. K

    Kwanini wananchi wamehamasika sana na BVR?

    Umofia Kwenu, Wadau nimetembelea vituo kadhaa vya kujiandikisha naona hamasa imekuwa kubwa, hivi kwanini? watu wanataka mabadiliko? kweli watapiga kura? au wanataka vitambulisho kwa ajili ya kufungua account bank? nashindwa kuelewa. Nahisi kama lilikuwa chezo ili watu wasijitokeze ili...
Back
Top Bottom