Kimsingi alikuwa wa hovyoo kabisa yaani watu alitujegea hofu, alituharibia mfumo mzuri wa Elimu Kwa kuondoka mtaala wa Cambridge,aliamini katika umaskini,alipora mali za watu,alitutoa relini kabisa watanzania wanaomaliza vyuo vikuu vyetu ni kiwango cha kata, hawana fulsa ya kuajiriwa popote...