Recent content by kip-korir

  1. kip-korir

    JamiiForums Tanzania Nashukuru Mungu nimetimiza milion 200 yangu kwanza?

    Ni sawa. Hata hivyo, UTAJIRI unaanzia kichwani na si mkononi
  2. kip-korir

    JamiiForums Tanzania Nashukuru Mungu nimetimiza milion 200 yangu kwanza?

    Nidhamu Ubunifu Kujinyima Ugomvi na vita dhidi ya wale wanaopenda kitonga. ndiyo siri ya mafanikio haya. HEKO kwa mafanikio haya. Milioni 200 yangu nami iko njiani inakuja.
  3. kip-korir

    JamiiForums Tanzania Tuambizane kiume, je ni sahihi kumrudia na kumuoa mwanamke mliyewahi kuachana baada ya yeye kuzaa na mtu mwingine?

    PICHA NI NYINGIIIIIIII!: Siku anakwenda Mahafali: MSINGI, SEKONDARI, CHUO Siku Anaoa/Kuolewa: UTAWEZA KUONA WAZAZI WAKIPIGA PICHA NA MWANA/BINTI yAO? UTAWEZA wewe?
  4. kip-korir

    JamiiForums Tanzania Zalisha faida kwa uwekezaji mdogo katika UTT na Hati fungani

    Mnada wa HATIFUNGANI haufanyiki online. Unahitaji kujaza Fomu, kuwa na CDS namba, Akaunti pesa za ununzi zitskapochukuliwa na kuwekewa coupon kila baada ya miezi sita
  5. kip-korir

    JamiiForums Tanzania Zalisha faida kwa uwekezaji mdogo katika UTT na Hati fungani

    Ni Sawa. Hata hivyo, tusiweke uhakika wa kuumwa tu. Tunaweka akiba kwa ajili ya siku zijazo tutakapokuwa hatuna vile vinavyotuingizia kipato. Hati Fungani za serikali bado zinahitajika sokoni. Mimi nahitaji Ndiyo. HATIFUNGANI ZINUZWA DSE
  6. kip-korir

    JamiiForums Tanzania UTT amis, naomba kujua maana ya hii "growth scheme

    KUKUZA MTAJI kama unavyoiita GROWTH SCHEME ipo kwenye mifuko ya UTT-AMIS kama UKWASI au Mifuko mingine ya uwekezaji wa pamoja kama INUKA FUND, DOZEN FUND AFRIPRISE iTRUST TIMIZA na kadhalika. Menejiment ya Mifuko hii hufanya Uwekezaji aidha katika Hisa za Makampuni na au HATIFUNGANI za...
  7. kip-korir

    JamiiForums Tanzania Challenge ya kusave pesa UTT

    hIyo itakuwa BOND FUND
  8. kip-korir

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wanaume mnakuaga na hela zile wiki za mwanzo tu tunapokutana na nyie? Alafu baada ya hapo huwa hatuzionagi tena?

    tunasubiri uwekezaji uwive ili tuvune matunda ya UAMINIFU
  9. kip-korir

    JamiiForums Tanzania Je! kati ya UTT Amis na CRDB, wapi kuna nafuu nikitaka kuwekeza?

    Nilinunua Vipande vya UTT Jul 2005 kwa Tshs 70 kwa kipande.
  10. kip-korir

    JamiiForums Tanzania Nina 40M ninunue hisa CRDB, NMB au niwekeze UTT?

    ndugu, upo uwekezaji zaidi huo ulioutaja. upo ununzi wa HATIFUNGANI ZA SERIKALI, zipo Money Market Fund mbalimbali, uwekezaji kwenye REAL ESTATE. ushauri wangu: PELEKA AKIBA HIYO kwenye HATI FUNGANI KWA USALAMA WA FEDHA ZAKO. Endapo utafanikiwa kupata hatifungani ya miaka 25 na coupon ya...
  11. kip-korir

    JamiiForums Tanzania Je! kati ya UTT Amis na CRDB, wapi kuna nafuu nikitaka kuwekeza?

    Usikate tamaa. Bila chochote huwezi kuwekeza. Wewe unacho kianzio, anza kuwekeza kuanzia hapo ulipo. Kila penye nia pana njia hivyo, ukiwa na malengo; mafanikio yapo mbele yako
  12. kip-korir

    JamiiForums Tanzania Je! kati ya UTT Amis na CRDB, wapi kuna nafuu nikitaka kuwekeza?

    Uwekezaji ni imani. Unahitaji kujua mambo kadhaa kuhusu Bidhaa za UTT. Kwa mtaji wa milioni moja, iwapo utaweka Benki kama akiba; kwa mwaka mmoja unaweza kuambulia asilimia moja ya faida. Hii inatokana na Mabenki kuwa na tozo nyingi kwa fedha tunazotunza huko. Kwa upande wa UTT, utakapowekeza...
  13. kip-korir

    JamiiForums Tanzania Je! kati ya UTT Amis na CRDB, wapi kuna nafuu nikitaka kuwekeza?

    SIYO KWELI. compare and contrast. Njoo na USHAHIDI usituhumu tu.
  14. kip-korir

    JamiiForums Tanzania Je! kati ya UTT Amis na CRDB, wapi kuna nafuu nikitaka kuwekeza?

    Ntaka pitia hili andiko kwa uelewa zaidi kuhusu uwekezaji.
  15. kip-korir

    JamiiForums Tanzania Challenge ya kusave pesa UTT

    Umefanya uamuzi wa busara Mzee wangu.
Back
Top Bottom