Recent content by kiongozirorya

  1. K

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka: Chuo cha mipango dodoma vs chuo cha utumishi

    Ahsante kwa maoni yako. Ungekuwa na uelewa mzuri ungeweza kuelewa ni kwanini niliomba hivyo vyuo tena katika ngazi ya cheti. Siyo siku zote kila mtu anapata kile anachohitaji. Wakati mwingine mazingira yanakusukuma kuchukua maamuzi fulani japo hukupanga toka mwanzo. Na inapotokea hivyo, basi...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Hodi hodi naingia!

    Ahsante sana Mzee.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka: Chuo cha mipango dodoma vs chuo cha utumishi

    Ahsante sana ndugu yangu kwa ushauri.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka: Chuo cha mipango dodoma vs chuo cha utumishi

    WANAJAMVI, Kwanza naomba msamaha kwa kuandika habari hii kwenye hili jukwaa badala ya jukwaa la Elimu. Sababu kubwa ni kwamba, hili jukwaa lina watu wengi sana, na mimi nahitaji ushauri wa haraka sana katika hili. Mimi ni muhitimu wa Form 4 mwaka jana. Matokeo yangu hayakuwa mazuri sana, hivyo...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Hodi hodi naingia!

    Wanajamvi hodi.
Back
Top Bottom