Recent content by Kiona Mbali

  1. K

    Buriani Amina Chifupa!

    Kufuatia kifo cha Mbunge Amina Chifu, maswali mengi yamejitokeza hapa Dar es Salaam pamoja na vitongoji chungumzima vya Tanzania yetu, kweli kuna wengi waliosema kuwa alipwa na shoku kubwa baada ya kuachwa na mumewe hali iliyosababishwa kupata presha. mbunge huyo aliyekuwa kipenzi cha vijana...
  2. K

    Mengi vs Manji: Ukweli ni upi?

    wewe toa hoja, acha kuleta maneno, eleza yale unayoyajua na siyo kunieleza mimi ninayoyafahamu
  3. K

    Mengi vs Manji: Ukweli ni upi?

    Isomeke 2010 siyo 2001.Samahani kwa usumbufu wowote
  4. K

    Mengi vs Manji: Ukweli ni upi?

    Jamani! Wananchama na wapenzi wa Jambo Forum kwanza ningependa kujitambulisha mimi binafsi ni Bw. Kiona na ubin wangu ni Mbali, hivyo unaweza kutamka jina langu kamili ni Bw.Kiona Mbali. Lengo la kuingia katika hii forum ni kuweka mtazamo wa kesho kitatokea nini? wakati wengi wetu humu ndani...
Back
Top Bottom