Recent content by kiomboi yetu

  1. K

    JamiiForums Tanzania Nimesoma shahada ya sayansi ya misitu natafuta kazi

    Wakuu still mambo hayajawa vizur
  2. K

    JamiiForums Tanzania Nimesoma shahada ya sayansi ya misitu natafuta kazi

    Asante mkuu...nimesoma SUA, plantation forest as well as natural forest
  3. K

    JamiiForums Tanzania Uliza swali lolote kuhusu Radiology(Xrays, ultrasound) na Radiotherapy

    Je ni kweli kwamba simu zina mionz inayoweza kusababisha saratani haswa mtu unapokua unazungumza kwa mda mrefu mara kwa mara?
  4. K

    JamiiForums Tanzania Nimesoma shahada ya sayansi ya misitu natafuta kazi

    Wakuu bado cjafanikiwa kupata, naomben hata ushauri
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kaliakoo

    Kariakoo hamna kiwanja
  6. K

    JamiiForums Tanzania Nimesoma shahada ya sayansi ya misitu natafuta kazi

    Dar boss kimara
  7. K

    JamiiForums Tanzania Nimesoma shahada ya sayansi ya misitu natafuta kazi

    Sawa boss japo volunteer may be iwe karib napoish maana accomodation na mengine itakua tabu sana sina source nyingine ya ela
  8. K

    JamiiForums Tanzania Nimesoma shahada ya sayansi ya misitu natafuta kazi

    Asante sana
  9. K

    JamiiForums Tanzania Nimesoma shahada ya sayansi ya misitu natafuta kazi

    Sawa chief nta apply japo pale wame specify uwe umesoma wildlife ecology,wildlife management au wildlife zoology kwa post za park warden na park ecologist ntajarib bahat yangu
  10. K

    JamiiForums Tanzania Nimesoma shahada ya sayansi ya misitu natafuta kazi

    Nimegoogle jina la iyo kampuni kama ulivoliandika apo naona inanletea articles ambazo watu wame publish kwa kutumia iyo tittle apo
  11. K

    JamiiForums Tanzania Nimesoma shahada ya sayansi ya misitu natafuta kazi

    Nashkuru boss ntalifanyia kazi ilo japo sina mwenyej yeyote iringa ila ntajitahid nifike sao hill na office za new forest
  12. K

    JamiiForums Tanzania Nimesoma shahada ya sayansi ya misitu natafuta kazi

    Nashkuru chief ntaifatilia ila kama unaijua ningeomba unidadavulie kidogo mode of application, kama wana ofisi hapa tz n.k
  13. K

    JamiiForums Tanzania Nimesoma shahada ya sayansi ya misitu natafuta kazi

    Pamoja mkuu
  14. K

    JamiiForums Tanzania Nimesoma shahada ya sayansi ya misitu natafuta kazi

    Wakuu heshima kwenu,natumain mambo yanaenda vizur na kama kuna changamoto za hapa na pale tupambane kuzitatua mwisho wa siku mambo yatakua vizur. Kama kichwq cha habar kinavosema nimesoma bachelor of science in forestry.Nipo tayar kufany kaz katika mkoa wowote Tanzania bara na visiwani. Naeza...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Nafasi 122 za kazi bwerere kutoka TANAPA

    Wakuu hivi mtu aliesoma bsc.forest haez apply post ya park ecologist? E.g kwa SUA walosoma wildlife na forest huwa wanasoma kozi za ecology kwa pamoja i mean wanachanganywa wanasomea class moja
Back
Top Bottom