Recent content by kinyero

  1. K

    JamiiForums Tanzania 'Mzee Mwinyi anajua 'dhambi' za Lowassa

    Hofu ya butiku ,UKAWA wakishinda Nyerere foundation watakosa ruzuku ,naye atakula wapi ,pia hakujiandaa kama wakina warioba wenye magetto makali huko osterbay ,lakini ukweli ni kwama haipendi CCM .
  2. K

    JamiiForums Tanzania TBC yadanganya, hatua stahiki zichukuliwe

    Hii ni aibu ya karne kwa chombo cha Habari cha uma kama hichi ku report Habari ki juha namna hii ,nadhani mtangazaji hata kama umepewa maelekezo ni vizur ukazingatia utashi na weledi wa professional yako ,maana unaonekana ni juha hata hujui unalo fanya ,isitoshe wewe ni mtumishi unaye lipwa na...
  3. K

    JamiiForums Tanzania SLAA na MBOWE waiangamiza CHADEMA.

    HAWAFAI HAWA KWA KWELI ,Hii ni SACCOS sio chama
  4. K

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa ziarani: Mikutano ya Desemba 5, Kakonko, Kigoma

    Rip chadema
Back
Top Bottom