Recent content by Kinyeli

  1. K

    JamiiForums Tanzania Wapi Dar naweza kupata kiwanja cha milioni mbili?

    Kama una mweyeji jaribu maeneo ya Tundwi Songani, ni mbele ya Mwasonga, Ni pazuri japo hapajajengeka bado
  2. K

    JamiiForums Tanzania Waliorejea shuleni baada ya kujifungua waomba hosteli kuishi na watoto

    Mwisho wa siku wataomba waishi na wazazi wenzao ili wasaidiane kulea, hiii nchi hiii
  3. K

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la mshahara kwa watumishi wa umma lisiwafanye muingie mkenge kukopa kwenye taasisi ndogo ndogo za kifedha

    Mi Kuna mtu alinifata Ni jirani tunafahamiana kapata kazi hapo platinum, et nikope, nikamwambia sawa, nikamuuliza riba kiasi gani akanitajia, nikamuuliza nikikopa milion 3 nilipe ndani ya miezi 10 kila mwezi ninatakiw kulipa sh ngapi? Akanijib laki 5 kila mwezi, yaani ndani ya miezi kumi nilipe...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ni kweli pesa ilikuwa ngumu kuipata lakini ilikuwa na thamani tofauti na sasa

    Hali Ni Tete kwa kweli ,elf 10 unitumia kwa kujibana kweli ili angalau itoshe kwa siku
  5. K

    JamiiForums Tanzania Tuwe wakweli; kama umewahi kufanyiwa ama kushuhudia miujiza tukutane hapa

    Tupe hizo formula mkuu nasi tujikwamue
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mmiliki wa saluni ya kike Sinza adaiwa kuuawa kwa kunyongwa na mpenzi wake

    Ishakuwa shida kwa kweli
Back
Top Bottom