Unatesekea ukiwa wapi , mkuu , mbona kushupaza shingo na sanamu za watu? umefosiwa kuziabudu , If Yes pole , If NO then waache hata wanaoabudu mawe waache
We ushaona wakatoliki wakishupaza shingo kukashifu dini za wenzao? Songa mbele na utakatifu wako na maono yako
Not every belief needs your...
Mkuu ukifuata wewe sheria hizi nzuri inatosha, ingia mbinguni kwa furaha : Wacha watu waishi maisha waliochagua , usikaze shingo kusikitika mwingine ana ingia motoni maana after all utakuwa mbinguni ukishangilia . Waache wenye POPE waendelee na mtu wao. Enjoy being born again in peace .
Mkuu kuwa mkweli na nafsi yako- Mange hajahusisha wazanzibar - ameonyesha uhalisia wa yaliyotokea , usitake kututoa kwenye ukweli kuwa walioongoza mauaji ni wanajeshi na askari kutoka visiwani. Mange amekuwa catalytic kuonyesha the TRUTH . Pata picha kama wazanzibar ndio wangeuliwa kiasi hiki...
Unenena vyema mkuu. Tuwa encourage vijana kuwa it's okay kujisikia vibaya na waombe ushauri, sio udhaifu kuwa depressed. Last week kijana mtanzania amejirisha Nairobi kwa stress za familia kumbe angeweza kuongea na washauri lakini amemezea hadi kajirusha na kuacha barua kwa wazazi wake wote. Tu...
Kuna wimbi kubwa sana la vijana na afya ya akili. Hawa miaka 18-25. Wiki iliyopita kijana wa kitanzania anayesoma Kenya naye amejirusha kutoka ghorofa ya 15 ,akiacha barua kwa wazazi kuwa hapendi wao kuachana na mitafaruku ya familia nk. Vijana wa kuume hawawi encouraged kuongea au kuelezea...
Nashangaa ndugu yangu. Bado tuna safari ndefu sana ya mitazano na kuto ku judge wengine . Kila mtu ana aina yake ya kuomboleza , walishalia walishatulizwa kwanza wako kwenye shock- na yaelekea wamekuzwa in a matured manner kuweza kua bsorb mambo. Je tutasema mtu akilia kwa mayowe na kugala gala...
Kuna article imepostiwa leo inasema "Maskini wanaongoza kwa roho mbaya" nadhani ina ukweli - kwa mawazo fikra na mitazamo mgando. watu wanateseka kucontrol hadi oxygen anayovuta mtu mwingine - yani u control lifestyle ya wengine kabisa -what a boring world it will be . Sheria za nchi zimevunjwa...
Its true you cant argue here, neither capable to do so- it needs a mature mind, an exposed demeanor and a wider perception to issues . Misingi ni yako- the world doesn't revolve around your beliefs and regulations- your interpretation of holy books are yours , stand on them , excel on them and...
Pambana kuweka misingi katika familia yako- na jibu hoja kwa hoja usitumie matusi nk ,jibu tu hoja kwa hoja- katu mwenye hekima hatumii matusi . Usiteseke na huduma za wengine -the world cant conform to your beliefs . Dunia ya leo pambana na uchoamini , ishi na misingi yako ukikomaa na...
Binafsi si muumini wa kanisa lake wala wahubiri wowoe wa kisasa ila POVERTY MINDEST itatumaliza watanzania.
Umeangalia TD Jakes, Joyce Meyer,Joel Osteen. Pastor Chriss walivyo smart? Au hata hauwajui
Does it matter content VS mavazi na tunaongelea mavazi ya umri wake kama kijana hajavaa kata...
Sio tu kukosa visa na kupenda kuishi in "victim mentality" kila kitu kuhisi uanonewa unanyanyaswa unasemwa - yani binafsi nasema umaskini hasa umaskini wa fikra ni mbaya sana kuliko uchawi.
Nadhani umaskini hasa wa fikra unaleta makasiriko sana kwenye maisha , maana mleta mada hata kwa swali lake tayari ameshaonyesha bias . Anyways - hakuna formula kuwa aliyesoma NECTA Vs aliyesoma International schools ni lazima mmoja awe bora au asiwe bora. Kuna factora nyingi sana - na tumeona...
Why do we assume kila mtu ana ndugu kijijini?
Wengine 3rd generation wote wako mjini, halafu normalize kuona watu wanaspend time watakavyo hebu tuwe open minded
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.