Recent content by kinyangesi

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kanuni za ndoa za kisasa.

    Mnagawa vyombo
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kanuni za ndoa za kisasa.

    Anaandika mkuu wa kaya! Kinyangesi. _______________________ Kanuni ya ndoa za sasa: Mwaka wa kwanza: mume anaongea mke anasikiliza, Mwaka wa pili: mke anaongea mume anasikiliza, Mwaka wa tatu: mume anaongea na mke anaongea majirani wanasikiliza, Mwaka wa nne: mume anaongea, mke anaongea...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Nakukumbusha mambo 50 kuhusu mkeo

    Hahahaa! Fumbo hilo
  4. K

    JamiiForums Tanzania Wanawake muelewe, sio kila mwanaume anayekupa hela anakutaka kimapenzi

    Nawe bado hujaolewa tu?
  5. K

    JamiiForums Tanzania Wanawake muelewe, sio kila mwanaume anayekupa hela anakutaka kimapenzi

    Tena vivulana vinavyonunulika
  6. K

    JamiiForums Tanzania Wanawake muelewe, sio kila mwanaume anayekupa hela anakutaka kimapenzi

    Hujakosea kujiita mzigua wewe[emoji2]
  7. K

    JamiiForums Tanzania Wanawake muelewe, sio kila mwanaume anayekupa hela anakutaka kimapenzi

    Huu uzi sio sehemu ya kuombea nafas za pm
  8. K

    JamiiForums Tanzania Wanawake muelewe, sio kila mwanaume anayekupa hela anakutaka kimapenzi

    HISTORIA YENYE MAFUNZO JIFUNZE KITU. Kuna mdada alikutana na mkaka wakat wako safarini, yule kaka akamuomba mdada namba ya simu njian akamnunulia kila kitu alichotaka, alipofika stand mkaka akamlipia usafiri mpaka home kwao alikokuwa abaelekea. Basi wakawa wanawasiliana kila siku. Siku nyingne...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaume wenzangu tu!!

    Hahahaa! Utajikuta unaimaliza jamhuri yote ya muungano
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaume wenzangu tu!!

    Swali limeshajibiwa
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaume wenzangu tu!!

    Hahahaa! Sie wahenga bhana
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaume wenzangu tu!!

    Uwe na option B
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaume wenzangu tu!!

    Qurie nani kakuita huku lakini? Kwani story imeandika walichepuka na mbuzi? Lengo la story ni kuelimisha sio uchambuzi wa wahusika. Eboh!
  14. K

Back
Top Bottom