Kwani ni kosa kikatiba? Wapi katiba imesema ni kosa? Sheria zipi za kimataifa zinasema alichofany ni kosa kisheria???
Otherwise, una wivu wako tu... Unatamani huyo waziri wa uganda ungekuwa wewe
Abari za muda ndugu zangu
Nyumbani naonatu pamekuwa pabovu mno... Toka jana yani
Jana nilinunua kilo mbili za nyama, nikamuambia mama mtu anitengee kilo anipikie supu ninywe, kisha inayobaki wale yeye na wanaye wawili kwakua inawatosha
Basi nikatengewq mezani. Kwa kua mimi ni baba nikawaita...
Ama kweli kua uyaone,nilijuwa magorofa.
Ni siku ya pili leo hii tunakula milo miwili baada yamambo yangu kukwama kidogo. Hanipi unyumba na hanijibu kwachochote.ingawa milo tunakula ni miwili,ila haiwezi kuwa sababu yamimi kunyanyasika hivi
Jana tukala mchana na jioni,asubuhi akanywa maziwa...
Bandugu kwema? Nina laptop naiuza. Ina ram 8GB, HDD ni 500, CPU ni 2.4GHz ni Hp.
Kwa Dar ni wapi wananunua laptop used?
Adapter yake ipo pamoja na battery.
Am going breafly!
Mba wananisumbua baada ya kunyoa ndevu, ni mba wa ngozi, hawajakithiri ila ni ule weupe weupe tu.
Naomba kufahamishwa dawa nzuri pamoja na dawa za kuoshea nywele au kupaka kichwani kama mafuta kila baada ya kuoga.
Asanteni
Nimechoka sana.
Jumamosi nilikwenda barber shop moja hapa jijini. Pale nilikutana na hostess mmoja aliyenipokea kwa kunichangamkia sana
Nikaingia na kuanza kunyolewa... sasa wakati kinyozi ananinyoa nilikua nampiga jicho huyu hostess aliyekuwa kwa nje
Yeye alikuwa ana access ya kuona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.