Recent content by Kinyamasyo

  1. K

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini Missions nyingi za Kijasusi za Ulaya na Marekani ni ngumu kujulikana ila za Kiafrika hujulikana mapema sana?

    Ondoa Tanzania ongeza labda Burundi. Maana Tz kabisa mko under zero kwa ujasusi. Si kesho kesho kutwa taifa lenu linatekwa na Rwanda na hamjui chochote
  2. K

    JamiiForums Tanzania Tujifunze kutengeneza drone(Quadcopter)

    Ni vizuri kujifunza mambo haya ya teknolojia. Ni ndoto yangu kutengeneza drone. Nimejaribu siku nyingi japo sijafanikiwa. nilipenda nijue motor za kutumia ni za volt ngapi? halafu batrii ya kutumia inayobebeka ni betrii gani?
Back
Top Bottom