Recent content by kinuma74

  1. K

    JamiiForums Tanzania Sisi WanaCCM, tumeiua CCM wenyewe kwa mikono yetu

    Hii ni sawa na kuvaa jezi ya Yanga wakati wewe ni Simba damu.Ungekuja moja kwa moja siyo kuisemea CCM.Kajipange upya.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mazishi ya Mzee Kisumo kijiji cha Ngujin Usangi, Alhamisi Tarehe 13 Agosti, 2015

    Njaa kitu kibaya sana.EL atawaburuza sana mwaka! Inasikitisha sana.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

    SAMANDITOYAMABUSIGANABAKE-Jina na mzee mmoja(sasa hivi marehehe) huko kanda ya ziwa
  4. K

    JamiiForums Tanzania CCM tutulize vichwa, Lowassa ni tatizo tulilojitengenezea wenyewe, hakujitengeneza!

    Narudia.Watu wajenge hoja na si kujisifia na lawama. Nitarudi tena.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kashfa ya Richmond: Lowassa, Karamagi na Dkt. Msabaha Wajiuzulu

    Naomba watanzania tuelewe kitu kimoja.Tunatarajia kupata kiongozi wa kuiongoza nchi.Hivi hawa wagombea hawana cha kuongelewa ya nani anauwezo wa kuinua uchumi wa taifa hili zaidi ya kashfa? Naenda likizo nje ya nchi nitarudi baada ya uchaguzi maana sioni wapiga kura wachambuzi wa maana zaidi ya...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Vijana kwenye Maandamano ya kumsindikiza Lowassa walipora mali

    Mtu mwenye akili timamu lazima utajiuliza,hivi ni kwa nini EL anatumia nguvu kubwa sana na pesa kuutafuta urais? sina tatizo na EL najua ni mchapa kazi, lakini kwa nini atumie nguvu ya pesa? hapa kuna mushkeli, hata kama ni mabadiliko jamani kweli ni kwa njia hii?
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kadi ya CHADEMA imenirudishia wallet yenye pesa na vitambulisho

    Haya, endeleeni kujitungia fix mtaisoma namba mwaka huu.Huyo EL anatafuta umaarufu tu! Waulize DR Slaa na Prof. wameshasoma nyakati.
Back
Top Bottom