Recent content by Kintiku

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria Boney Nduati wa nchini Kenya amemtoa maoni yake juu ya Rais Magufuli

    Huyo wakili ni mpuuzi tu
  2. K

    JamiiForums Tanzania Madhabahu yenye nguvu za Mungu

    Tabata Shule pale
  3. K

    JamiiForums Tanzania 101.4 FM BBC World Service Dar es Salaam

    Tunateseka sana kwa kweli.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Polisi aliyeonekana kwenye Video iliyosambaa akipokea rushwa achukuliwa hatua

    Uliyemrekodi huyo askari hutapata amani na furaha katika maisha yako. Umeharibu maisha ya kijana mdogo kwa ushenzi wako mwenyewe Kama hupendi rushwa ungelipa faini, askari hakukuomba rushwa Wewe ndio ulimpa
  5. K

    JamiiForums Tanzania Polisi aliyeonekana kwenye Video iliyosambaa akipokea rushwa achukuliwa hatua

    Hilo tukio sio la kweli ilikuwa staged ili kuthitibitisha (prove) kuwa madreva ndio hutoa rushwa bila hata kuombwa na askari. Watu wengi wamekuwa wakilaumu kuwa askari ndio huanza kuomba rushwa wakati sio kweli
  6. K

    JamiiForums Tanzania Nasumbuliwa na UTI,nipeni njia mbadala wapendwa.

    Kakuingiza chaka wala usipitie
  7. K

    JamiiForums Tanzania Siku 10 za Maombi katika Kanisa lolote la Waadventista Wasabato

    Seventh-day Adventist
  8. K

    JamiiForums Tanzania Siku 10 za Maombi katika Kanisa lolote la Waadventista Wasabato

    Leo nimepita pale Magomeni nimeona jinsi jengo lao jipya upande wa Morogoro rd wanavyojiandaa kutengeneza lile "jicho" pale juu. Maana kila kanisa lao lina hilo jicho
  9. K

    JamiiForums Tanzania Siku 10 za Maombi katika Kanisa lolote la Waadventista Wasabato

    Kweli kabisa, hawajitambui hawa
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mayai ya kisasa yanapatikana

    Mkuu bado supply hii IPO?
  11. K

    JamiiForums Tanzania Siku 10 za Maombi katika Kanisa lolote la Waadventista Wasabato

    Umenena vema kuwa madhehebu mengine, lakini Wakristo wanasali J2. Wayahudi wao ndio halali kabisa kwao kusali Jumamosi maana wao si wafuasi wa Yesu ila nyinyi wenzangu wenye kutaka huku na kule hamna kitu zaidi ya kugeuka kuwa cult. Huwezi kutaka kushika torati na hapo hapo unajifanya...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Yupo wapi CAZ-T mwana wa Komba

    Ni Malafyale kwa upande wa mama
  13. K

    JamiiForums Tanzania Siku 10 za Maombi katika Kanisa lolote la Waadventista Wasabato

    Kwani ameshamaliza "investigative judgment", na roho 10,000 zimeshapenya?
  14. K

    JamiiForums Tanzania Siku 10 za Maombi katika Kanisa lolote la Waadventista Wasabato

    Msabato sio mfuasi wa Yesu, yeye ni mfuasi wa Ellen G. White. No matter how harder they try to disguise as Christians..they will remain SDAs] Pll0
Back
Top Bottom