WAAFRIKA kiujumla kinachotudumaza ni UTUMWA ambao bado umebaki kwenye fikra zetu kuanzia nyanja za kijamii, kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni. Na kama taifa la Tanganyika tunahitaji ukombozi wa kifikra dhidi ya nini mahitaji yetu ya msingi, malengo yetu, na miongozo yetu kuyafikia hayo mahitaji...
Mim sio bendera na kamwe siwezi kuwa mfuasi wa mwanasiasa yeyote ila nitamuunga mkono mwenye nia ya dhati kuisimamia kiapo chake alichoapa kuisimamia katiba na kulinda rasilimali za nchi, SIO WA KUTUCHEZEA SHERE
Ninyi ndio mnaochochea machafuko Kwa kuwanyamazisha Kwa kifo wanaopinga hoja zenu, sas mtataka Kila siku mtumie hixo njia watu wawaangalie. BRO VITA VYA PANGA HAVIAMULIWI KWA FIMBO
MSITUMIE NGUVU KUBWA
Gharama ya maisha imepanda toka HANGAYA arithi madaraka alaf MAYALA NA UZEE WAKO tukategemea utakuwa wa kwanza kukaa na vijana na makundi ya wapiga kura wengine kuwaambia kwanin TIMU YA NYUMBANI haipaswi kuendelea kuongoza hii nchi. VIJANA TUNAOJIELEWA HATUNA CHUKI NA NYIE...
NO REFORM NO ELECTION#
USISEME BAADA YA UCHAGUZI SEMA BAADA YA UWANJA KICHAFUKA NYIE MASHABIKI WA TIMU YA NYUMBANI MTAIOATA NGUVU ILE YA MIGAMBO YENU KULINDA UHAI WA MITI YENU HADI NYUMBANI MANA NAJUA MAREFA NA VIP WATAHAMA UWANJA VIA VISA
Wew n mbwa kama walivyo mabwana zenu, kumfungia Gwajima ndio kujibu hoja za msingi za utekaji na ufisadi. TUPO TAYARI JINO KWA JINO NANYI HUU MWAKA mnajiona mkishakuwa Uvccm nchi n yenu. Sikilizieni milio sashv. Mzee Ali Kibao, Mdude damu zao mtazilipa Kwa gharama kubwa nyie kunguni. Uanze...
Usiseme dikteta uchwara. Wew ndio una njaa bila kujipendekez kw mabwana wenu CCM wanao hawaendi chooni. Ila kuibiwa Kodi na kupelekwa kweny matumizi binafsi ni mabwana zenu tu ndio wanafaid. Kam sahan ya ugali unaambulia ule upupu mdogo dogo. Alaf ukivimbiwa ndio unakuj kunya humu JF unasahau...
Kuna ndugu zangu walimu wamemaliza vyuo hawan ajira ikiwa serikali Yao inatumia vibaya vinavyokusanywa, na migandamizo katika ukusanyaj Yani buashara ndogo macertificate na maleseni kibao yote pesa. Muamze kumtumia ualimi wenu kuelimisha udhalimi wa fisiemu
Usizungumze usichokijua kabla hamjaamua kumlaumu kiongozi yeyote kwenye miundombinu na miradi inayoanzishwa jiulize dira ya maendeleo ya miaka mitano 2016-21 na 2021-26 unaifahamu. Kama hauifahamu jilaumu wew kwanza Kwa kutokujua dira ya maendeleo ambayo ilitumia Kodi Yako kutafuta wataalamu na...
CCM Kwa ujumla wao wanamuogopa Lissu kuliko mwanasiasa mwingine yeyote akiewahi kuwa upinzani toka Tanganyika ipate uhuru. Wanafahamu ni Simba ambaye haogopi vita na kukiwasha haogopi, waliweke akilini baada ya uchaguzi mkuu mwakan huu watamuelewa vizur wasitegemee watauchafua uchaguzi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.