Recent content by KINO

  1. K

    JamiiForums Tanzania Nyama tunayokula Tanzania ni ya hovyo sana

    kula kitimoto achana na nyama ya ngombe
  2. K

    JamiiForums Tanzania UKAWA wasoma bajeti ya maendeleo Kinondoni, wananchi kutibiwa bure!

    Kwa ukawa linawezekana
  3. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Vyama vya Upinzani vifutwe, kibaki CCM pekee kama chama dola

    bora vifutwe vyote ibakie ccm iba kura
  4. K

    JamiiForums Tanzania Baada ya mashambulizi: Tumerejea hewani, Tupo imara zaidi!

    pole max
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mgombea Urais kwa tiketi ya TLP ashindwa kupiga kura

    Kuna form imemis inatafutwa
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mgombea Urais kwa tiketi ya TLP ashindwa kupiga kura

    Mgombea urahisi tlp MOSHI ashindwa kupiga kura chanzo ITV.jina Mackimilian lyimo
  7. K

    JamiiForums Tanzania Sasa nishagundua kwanini Magufuli ndo Rais baada ya 25, Oktoba

    Naona hata we we mwenyewe kwenye post yako umekubali ccm itashidwa kwa kishindo.people poweeeeeeeej
  8. K

    JamiiForums Tanzania Tumkodi Mkurugenzi TBL kuiendesha TANESCO

    Mkurugenzi wa TBL angehamia Tanesco kusingekuwa na tatzo la mgao wa Umeme cz ni mtendaj mzuri bia hazijawahi kuisha kabisa wala hana vijisababu vya ajabu ajabu. Ni mawazo yangu tu ya kiweekend 😜😜😜😜😜
  9. K

    JamiiForums Tanzania ITV mtuletee taarifa ya mkutano wa UKAWA Arusha kama mlivyotuahidi

    Hata Chanel ten hawajaonyesha.wameonyesha magufuli tuu kazi ipo waje kwenye box lakura kuzuia kura kumi elifu za ziada
  10. K

    JamiiForums Tanzania ITV mtuletee taarifa ya mkutano wa UKAWA Arusha kama mlivyotuahidi

    Hata Chanel ten hawajaonyesha.wameonyesha magufuli tuu kazi ipo waje kwenye box lakura kuzuia kura kumi elifu za ziada
  11. K

    JamiiForums Tanzania ITV mtuletee taarifa ya mkutano wa UKAWA Arusha kama mlivyotuahidi

    Hata Chanel ten hawajaonyesha.wameonyesha magufuli tuu kazi IPO ila same wazuie name kwenye box lakura
  12. K

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa: Magufuli haogopi kupoteza kura kwa kukemea ufisadi na kusema atawafunga wala rushwa!

    hajadhubutu live wananchi wange mshambulia kipindi cha maswali
  13. K

    JamiiForums Tanzania Chanel 10 yajichanganya na kurusha ukweli wa mkutano wa Tanga

    kweli hata mimi nilisikia baada ya taarifa ya ukawa kuripotiwa ndivyo sivyo nikasepa kuendelea na largar bariiidiiii nakichinjio changu nimefunikia glasi ya bia
  14. K

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Tanga: Mkutano wa Mgombea wa CHADEMA, E. Lowassa - Septemba 28, 2015

    Naomba twawezeshwa waende Tanga kesho watuletee data kati ya Raisi Lowassa na mnyanyua vyuma nani zaidi?
Back
Top Bottom