Recent content by KINJWEMBA

  1. K

    Gwajima amkana Lowassa: Apinga kuwahi kuunga mkono Mwanasiasa yeyote

    Jogoo atawika mara tatu! Yaleyale yaliyomkuta Yesu
  2. K

    Pinda: Serikali itajenga reli mpya Dar-Mwanza-Isaka hadi Burundi

    Kampeni zimenza! Changa la macho kanda ya ziwa! Kura zenu zinatafutwa
  3. K

    CCM huko bungeni leteni suluhisho la kero za Muungano, mwacheni Warioba

    Bunge limeshindwa kuamua muundo wa muungano waturudishie wananchi tupige kura ya maoni, ili wakajadili utawala na madaraka.
  4. K

    John Komba atishia kuingia msituni endapo wananchi wataamua Serikali tatu

    Maskini komba uingie msituni kijeshi au kwa kuimba kwaya au kama mwalimu wa shule ya msingi , waingiao msituni ni wanajeshi kwa fani ya jeshi sio hizo ulizonazo
  5. K

    Lukuvi: Tukipitisha serikali tatu jeshi litatawala nchi

    suluhisho lilikuwa kura ya maoni ianze ndipo bunge la katiba likae, viongozi wa sasa hawajui maana ya siasa (nina wasiwasi km Lukuvi alipitia kivuköni
  6. K

    Mtikila: Hili bunge la katiba limejaa wahuni na washenzi sijawahi kuona toka tupate uhuru

    wanachama wachache sio upungufu wa akili ya upembuzi wa mambo
  7. K

    Kapten John Komba: Lowassa anafaa kuwa Rais 2015

    Ni ukweli mtupu komba njaa inamsumbua,fadhila anazofanyiwa na lowasa zimempelekea kumkubali lowasa. Huko mbele hana mwelekeo.
  8. K

    Yathibitishwa, Dr Ndalichako aondoka NECTA

    Jamaa zetu hawa wanapenda mbeleko, someni elimu dunia mng'ae duniani
  9. K

    Tukio la Mlipuko wa Bomu Arusha: Inspector Daudi wa Polisi akamatwa

    kama uliangalia vizuri bungeni siku moja baada ya tukio mwigulu hakuwa na amani kwenye kiti, hii inaonyesha jinsi gani alivyohusika kwa tukio hilo
Back
Top Bottom