Jukwaa la Siasa
Pre GE2025 Ukimya wa Freeman Mbowe Chadema nao ni jibu
Thread starterElias Msuya
Start dateToday at 11:06 AM
Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
1 of 2Next Last
Jump to newSubscribe
•••
E
Elias Msuya
Member
Today at 11:06 AM
Add bookmark
#1...
Wanaopaswa kukiunganisha chama na kuvunja makundi baada ya uchaguzi ni viongozi waliopo madarakani, hiyo ndio kazi ya uongozi kuwaunganisha watu otherwise hata uongozi wa familia/ukoo hautouweza. Ili uweze kuwaunganisha watu lazima uwe msikivu kwa watu wako wote wanaounga mkono hoja zako na...
Mwenye mtoto mwenyewe huna uhakika kama mtoto wako alibakwa ndiyo maana unasema mulimtuhumu. Sasa unataka mtu apigwe mvua 30 kwa tuhuma tu bila ya ushahidi wenye kueleweka?
Lisu airudishe familia yake Tanzania ili tuungane nayo kupigania mabadiliko kwa maandamano, vinginevyo kelele zitakuwa hazina maana kwa Watanzania.
Tukishauana wanasiasa wanakaa chini na kugawana vyeo(nusu mkate) wanufaika kwanza ni hizo familia zao zilizoko Uberigiji, Marekani na Kanada...
Jamaa aliyekutumia hiyo video ni mpumbavu anayetaka huyo demu hasiolewe ili amcheke. Kwa uzoefu huyo ni bwana wake wa muda mrefu lakini alikuwa anazingua kumuoa huyo demu,yaani alikuwa anampiga kalenda huku anampenda. Sasa demu kachoka kalenda zake umetokea wewe upo serious na ndoa akaamua...
Huu utapeli walipigwa sana wauza mayayi na koni miaka hiyo 90s. Wanajifanya waganga wanakusugua utosini unatoka moshi au unatema nywele wanakuambia umelogwa , wanakuambia acha vitu vyako vyote pesa,mayai au koni halafu nenda kachote mchanga kule uje nao ili tukutibu. Ukianza kwenda tu jamaa...
Upo sahihi. Lengo la chama cha siasa ni kushika dola kupitia sanduku la kura, ili upate kura lazima uonyeshe udhaifu wa yule anayeongoza(Raisi ). Raisi ana majeshi na mabunduki sasa akiwa dhaifu kweli atamshughulikia kila anayemkosoa na kumkejeli. Kwa maandishi yako haya ingekuwa kwenye utawala...
Hao ni Majahili(Wajinga/Wapumbavu) tu wa Uislamu.
Amesema Mtume Wa Allah" Umeanza Uislamu ukiwa mgeni na utaendelea/rejea kuwa mgeni basi hongera kwa wageni"
Hao wanachanganya mila zao za mizimu kama Yericko Nyerere na Uislamu.
Huyo Sule ni mfanyabiashara wa dini (Tijaru dini) kama walivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.