Recent content by kingwendu

  1. K

    Ufisadi utakwisha tukiondoa mgongano wa Maslahi

    Ufisadi utakwisha tukiondoa mgongano wa Maslahi? Bila ya shaka wengi wetu tumechoshwa na ufisadi, na ili tuweze kusonga mbele tunahitaji viongozi ambao kweli wakisema wanauchukia ufisadi tushawishike kwa kauli zao na matendo yao kwamba kweli wao si mafisadi. Naambatanisha article...
  2. K

    Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

    MANENO HAYA YA H.E KIKWETE YAMENISISIMUA.....KIDOGOKIDOGO TUNARUDISHA HESHIMA YETU KTK MEDANI YA SIASA ZA KIMATAIFA NA KISTARABU..... ''Rais Kikwete ambaye alikuwa mwenyekiti wa kikao hicho, alimjibu Makamu huyo wa Rais wa Burundi, “Hakuna shaka kuwa nchi zote katika eneo letu la Afrika...
  3. K

    Tanzania haitambui ushindi wa Mugabe - Membe

    Kwa Hili Serikali imesimama upande sahihi.....Hongera Mh. Membe Wakuu inatubidi kuipongeza serikali ya Tz kwa msimamo iliounyesha juu ya sakata hili la Zimbabwe. H.E J.Kikwete, Hon. Member, You are the new beacons of light to shine where there is darkness in African continent. Maelfu ya...
  4. K

    Kikwete Ampongeza Mugabe na Wananchi wa Zimbabwe

    Kikwete has played it smartly.....not enough though!!! Wakuu hayo maneno Muungwana kajua kuyachagua, maana angemshambulia Comrade Bob hadharani baadhi hapa na hapo mkutano wangemuona kwamba yeye ni kibaraka wa West, na kama angempongeza Bob angepoteza ile credibility yake aliyo nayo ktk...
  5. K

    Dowans: Another Richmond in making?

    Kama Mkataba Ni batili kwa nini usivunjwe sasa? Hadi August Mnasubiri nini? Kwanza tuchukulie nadharia kwamba mkataba huu bado muda wake haujaisha. Swali la msingi ni je kwa nini usivunjwe sasa na kutaka pesa zote zilizolipwa kurudishwa haraka. Sheria za mikataba ya kimataifa zinasemaje? na...
  6. K

    Calling for Mkullo's Resignation...

    The recent comments by Hon. M.Mkullo, the man who is supposedly to be the chief of running our economy and financial sector, highlighting about the EPA scandal, it has proven that the Hon. minister is either 'negligent or incompetent' to hold such crucial and undoubtedly one of the most...
  7. K

    Je, Mwakyembe kujiuzulu Ubunge?!

    MWAKYEMBE TUPE RAHA....WEWE NI JEMEDARI USIYEOGOPA Wakuu, wakati umetimu wa kuwaletea Watanzania maendeleo ya kweli, na mafisadi ole wao wakae chonjo, haogopwi mtu, hapendwi mtu, hapa ni uzalendo tuu na maendeleleo ya Watz ndio yanayowekwa mbele na si matumbo ya watu binafsi na familia zao na...
  8. K

    Tanzania ready to send Army to Zimbabwe-Kikwete

    KWA HILI KIKWETE..TUKO PAMOJA MADNESS IN ZIMBABWE MUST STOP IMMEDIATELY Mkuu Kitila tuko pamoja, maneno aliyoyasema Mh. Kikwete inabidi uyasome between the lines ili ujue kwamba ni maneno mazito na yanatuma ujumbe mzito kwa Mugabe na watu wake wa karibu kwamba hatuwezi kunyamaza na Rwanda ya...
  9. K

    Tanzania ready to send Army to Zimbabwe-Kikwete

    SAUTI YA KIKWETE NI MRINDIMO WA AINA YAKE......HONGERA KWA HILI!!!! Wakuu kwanza nianze kwa kusema naamini matatizo ya Afrika yatasuluhishwa na Waafrika wenyewe, Sio Bush wala Brown au Sarkozy. Ofcourse, sisi kama Waafrika 'particularly Tanzania we have done or said too little too late'...
  10. K

    Mama Killango Jitoe Ccm Kama Wewe Ni Mkweli!

    Kuondoka CCM Mama Kilango je kutaleta 'Tija'....? Wakuu naamini hapa JF ni jamvi la kujifunza mengi na pengine kuzalisha cheche za kweli za kuleta mapinduzi ya kifikra ya kumkomboa Mtanzania mlalahoi. Sikubaliani na hoja mama K ajitoe CCM, 'keep your friends close, and keep ur enemies even...
  11. K

    Barua ya Wazi kwa Rais Kikwete Kuhusu Zimbabwe

    Hon. Kikwete Umevaa Viatu Vilivyopata Kuvaliwa na 'Nyota ya Afrika'. Wakuu bila ubishi Mwl. Nyerere ameacha 'standards' za hali ya juu ili viongozi watakaomfuatia wazifuate na pengine waweze kwenda mbali zaidi ya pale yeye alipofika. Nasema pasi kuwa na shaka Mwl. alikuwa na mapungufu yake...
  12. K

    TZ: Membe speaks the truth about Zimbabwe

    Maneno ya FM Tanzania ni Mazuri lakini mmechelewa...... Siku nyingi hapa ndani ya JF na duniani kwa ujumla watu walishasema huyu Bob Mugabe anahitaji 'strong words of condemnation' lakini ndio kwanza viongozi wetu wa nchi za Africa mkatia pamba masikioni. Mkidhani kwamba Wazungu wanaingilia...
  13. K

    Polisi kuwaachia Wapemba

    ''Amani haitafutwi kwa ncha ya Upanga...Tuliwapinga makaburu si kwa sababu ya rangi yao ila kwa dhambi ya ubaguzi wao'' Mara kadhaa imeshadhihiri njia ya kutumia mabavu haijawahi kuleta suluhusho la kudumu na la muda mrefu katika nyanja kadhaa za maisha ya mwanadamu. Kitendo cha kuwakamata...
  14. K

    Viongozi Mafisadi wazomewe hadi warudishe fedha zetu

    Wadau imejiri kwamba serikali inawabana watu wasiwazomee mafisadi na wakulu wa matawi ya juu wameshatangaza kula sahani moja na wanaozomea mafisadi. Hizi ni dalili za kidikteta na zisipokemewa na kulaaniwa mapema zinaweza kuwa na mwisho mbaya kwa mafisadi kudhani wanaweza kufanya chochote na...
  15. K

    Siri mpya EPA: Vigogo BoT waliamua 'kufa na mafisadi'

    Ufisadi na Benki Kuu... Ukistaajabu ya Musa .... Inasikitisha kuona pale taasisi kama Benki kuu ambayo ndiyo mhimili wa uchumi inapoamua kupiga mbizi ktk kuutetea na kuurutubisha ufisadi. Gavana wa benki kuu alipokuwa Uingereza ktk lile kongamano lililoandaliwa siku kadhaa zilizopita...
Back
Top Bottom