Recent content by kingwana

  1. K

    JamiiForums Tanzania Makamba na Maharage hawapo, sasa tuone kama matatizo ndani ya TANESCO yatafika mwisho

    Tanesco ilishakuwa ya hovyo alipotoka kalemani. Mi nakumbuka kutoshuhudia kukatika hovyo kwa umeme kwmuda mrefu kabisa
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kigwangalla: Dege kubwa la watalii zaidi ya 300 latua uwanja wa KIA, utalii Tanzania wazidi kukua

    Lini walikuja wengi zaid kwa pamojA kama ivi na streight through Kia....? Ili nasi tujiunge ktk cheko lako...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli awashangaa CCM na wananchi wa Iringa mjini kwa kutompa ubunge Dr. Mahiga

    Mkaamua kujipangia ujinga
  4. K

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Afrika Kusini lamchambua Magufuli: Kutoka kiongozi mwenye maono hadi dikteta

    Ask them kimla... Mi headless hawa inanipaga shida sana
  5. K

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Afrika Kusini lamchambua Magufuli: Kutoka kiongozi mwenye maono hadi dikteta

    Mr presidaa kabana ulaji wenu.... that's what has just happened....
  6. K

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Afrika Kusini lamchambua Magufuli: Kutoka kiongozi mwenye maono hadi dikteta

    In a maneno mazuri sana ,these puppets Mimi jf wanawayawaya tu...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Afrika Kusini lamchambua Magufuli: Kutoka kiongozi mwenye maono hadi dikteta

    Yaa alibana uko akaongeza bajeti ya madawa kwa mamia ya asilimia.... najua huwezi kuona hilo... U pple ar sinking so low.. I wonder why
  8. K

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Afrika Kusini lamchambua Magufuli: Kutoka kiongozi mwenye maono hadi dikteta

    Mimi mmoja wapo katika wale ambao hawajamchoka.... the man is just beginning his quest as per say... Tangu lini wa nje wakajua thamani kitu chako cha ndani...? South Africa...? Wale waliokumbushwa role ya nyerere ktk uhuru wao waliokuwa wameisahau..? Lazma uwe mpinzani kumpinga magu... upinzani...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Facts The Economist Got Them Wrong on Magufuli

    Nakumbuka ccm kuchokwa na wazungu kipindi kile cha uchaguzi.... ile ilikuwa kwa faida ya nani kauli ile? ukawa? wazungu au ccm? ilikuwa ni kwa faida ya wananchi? laa lalalala... kwa faida ya wazungu tu.. walioichoka ccm ni wazungu sio watanzania... wazungu.. kwahiyo siwezi kuamini kuwa wazungu...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Ni hali mbaya ya uchumi? Mpaka sasa Serikali bado haijalipa mishahara ya mwezi huu!

    hukuanza kazi tarehe ishirini na tatu.... iyo bado ni hisani tu kukuwahishia mshahara... wacha mbambamba ndugu
  11. K

    JamiiForums Tanzania Nadhani Mh. Bashe hana Vision sawa na Magufuli na Watanzania wengine!

    Umesoma ulichoandika ??? Baada ya kusoma kilichoandikwa ??? Au uko unaendeshwa na negativity na arrogance za ajabu ajabu...!! Wawekezaji waje mitaji, sio briefcase!! Inaeleweka kabisa. Waje na briefcase zimejaa mitaji sio tupu...., ukiwa na briefcase yenye mtaji hukaribishwi tu...
  12. K

    JamiiForums Tanzania RC Makonda amuweka ndani Mwenyekiti Serikali ya Mtaa akiwa mkutanoni

    Makonda sio hatua yetu alochukua.... Hatujachukua hatua kama unavodai... Kachukua hatua MakondA. Mwenyekiti wavkamati ya ulinzi na usalama waJiji hili...!! So calm down,
  13. K

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Mkude simba taja bei ya iyo kitu flat
  14. K

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Ukhuty iyo s 6 edge sh ngapi
  15. K

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Kabisa bei za juu tupu...!!
Back
Top Bottom