Recent content by kingson1

  1. K

    Mahakama yawafutia dhamana M/kiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na Mbunge wa Tarime Mjini, Esther Matiko

    Bob Marley aliwahi kuimba "so much trouble in the world " Bob Marley aliwahi kuimba "so much trouble in the world " ..u think you get solution but you create illusion. What's goes up will come down and what's goes around comes " As African black people we need more wisdom than power to sort...
  2. K

    CHADEMA msimamo wenu kwa mashoga ni upi?

    Umenikumbusha msemo wa Kifaransa" toute la verite n'est pas bonne a dire" nikirejea kwenye mada; nadhani Mh.Makonda amerigharimu taifa kwa kitendo chake kwenda kwenye runinga na kutangaza vita dhidi ya mashoga! Tayari USA wamewatahadharisha raia wake wanao taka kwenda Tz au wano ishi Tz...
  3. K

    Marekani na Israel zaenda Ukraine kujifunza namna ya kuikwepa s300

    Kujifunza usicho kijua kwa mtu unaemzidi uwezo mbali mbali ni hekima kubwa sana! USA wana akili mno. Kuna msemo wa kimombo, "every human i meet is my superior so i learnt something from him/her". Only in Africa eti hawawezi kuomba msaada wa FBI au Scotland yard kwenye mambo yalowashinda! Shame...
  4. K

    Lema: Serikali iruhusu wapelelezi huru kutoka nje. Waziri Lugola aache mara moja kuzuia watu kuzungumzia suala la Mo kutekwa

    Jamani Hon.Lema for my opinion amedai kitu cha msingi kbsa mathlani camera footages. Unaweza mtambuwa mtu kirahisi kama unamfahamu vizuri hata kama hujaona usoni just kuona jinsi anavyotembea. People don't want to think about the surrounding area mentioned by Lema just bcse he's an opposition...
  5. K

    Mkuu wa Mkoa wa Iringa hajui Sheria

    Nachelea kukubaliana na maelezo ya mshitaka (mzee aliebomolewa), kwamba kila alipo kwenda kupanga huyo diwani alimfuata! Je, Iringa mjini hakuna vyombo vya sheria? How can someone be harassed to that extent and not take action to open a case!? Kitu kingine kilicho nishangaza nihao watendaji wa...
  6. K

    Je, haiwezekani tumeamua kujitoa katika mahakama hizi ili kupunguza aibu ya kushindwa na Acacia katika kesi waliotufungulia huko London?

    Guys you have to remember that kujitoa kwenye hizi mahakama ndio lilikuwa wazo la Lisu first then unaendelea na taratibu zingine. Later on his advises may be worthy bila kutambuliwa!
  7. K

    The life and death of Dr Emmanuel Gasakure and the corruption of the Kagame regime

    Nadhani mleta maada una chuki binafsi na utawala wa Rais Kagame! Harafu umewashambuliya watu binafsi na kuwadhihaki e.g. Dr Binagwaho, huyu ni mwalimu chuo kikuu cha Harvard(school of medicine ). Wewe kama nani unapinga uwezo wake kitaaluma!? Secondly, ukweli uko wapi kati ya Dr Binagwaho, JK...
Back
Top Bottom