Recent content by kingrumanyika

  1. K

    Zimwi la ufisadi bado linamwandama Rais Mstaafu Ben Mkapa?

    Sikupata fursa ya kusikiliza kwa kirefu interview yake na waandishi wa habari mara baada ya kufungua mkutano mmoja huko Arusha, juu ya ushirikiano kupitia mpango wa EPA kama sikosei. Lakini mwishoni kabisa, sehemu ambayo nilibahatika kumsikiliza kupitia ITV, bwana mkubwa huyo ambaye pamoja...
  2. K

    Who are they: Mbowe, Sitta, Slaa, Zitto, Mwakyembe, Kubenea, Lissu, Rostam...

    Du! Naona ulijiunga kwa ajili ya kazi hii aliyoianza Alfred Ngowi. Join Date; Februari 11, 2012, post 2. Hebu saidia wewe basi kufika huko unakosema hatutafika, kwa kuonesha yalipo hayo maswali aliyouliza, yako wapi ili yajibiwe. Maana ili mtu ajibiowe anapaswa kweli kuuliza maswali!
  3. K

    Who are they: Mbowe, Sitta, Slaa, Zitto, Mwakyembe, Kubenea, Lissu, Rostam...

    Unazidi tu kujianika. Wenye akili hapa wameshakujueni na ajenda zenu. Ati unajificha nyuma ya Lissu. Hoja ya kitoto kabisa. Kama ulikuwa na nia ya dhati kwa nini usilinganishe CHADEMA na vyama vingine, incl, CCM. Kwa kufuata mtoririko huo tungemfikia Mbowe na kumlinganisha na wenyeviti wa vyama...
  4. K

    Who are they: Mbowe, Sitta, Slaa, Zitto, Mwakyembe, Kubenea, Lissu, Rostam...

    Sasa mbona na wewe pia unapaswa kufafanua kauli zako hizi, ambazo zinaanza kuonesha wazi lengo la topic hii. Unaweza kufafanua ili watu wakuelewe (ni) zaidi
  5. K

    Who are they: Mbowe, Sitta, Slaa, Zitto, Mwakyembe, Kubenea, Lissu, Rostam...

    Mto hoja kwanza nianze kwa kutumia signature ya Jmushi wa hapa JF, kama mchango wangu wa awali katika hoja yako hii isiyokuwa na mashiko. "LEADERSHIP IS ACTION NOT POSITION OR EDUCATION" Uwezo wa Mbowe unaonekana katika matendo yake. Mengine yote ataongezewa tu. Kuwa makini, Mbowe ana uwezo...
  6. K

    Siyo kweli kwamba Zitto na Makamba wanawahurumia watanzania, wana ajenda zao

    Mzee wa Katiba mpya, unaheshimika kwa uwezo wako, lakini lazima ujiulize pia kwa nini watanzania wamefikia mahala hawaamini wanasiasa wenye ajenda za kificho na kinafiki kama hawa. Haya mambo ya watu kutoaminiwa tena katika umri mdogo kama wa hao, huwa haibuki ghafla. Yanakuwa na dalili na...
  7. K

    Siyo kweli kwamba Zitto na Makamba wanawahurumia watanzania, wana ajenda zao

    Mweleweni mtoa hoja. Hajakataa umuhimu wa hoja ya posho, anachozungumzia ni moral authority na malengo yaliyoko nyuma ya watu hao wanaojidai kusukuma hiyo ajenda ya posho, kutaka kujikweza na kuonekana wao ni wabunge vijana maslahi ya taifa, kumbe wana ajenda kubwa nyuma ya hilo suala. Msome...
  8. K

    Siyo kweli kwamba Zitto na Makamba wanawahurumia watanzania, wana ajenda zao

    Umesema vyema kabisa. Muda si mrefu mambo yao, syndicate yao itajulikana. Tusubiri tuone. Huwezi kuficha uchafu chini ya kapeti, siku zote, siku moja lazima uvundo utakuumbua tu, kisha harufu yote hadharani.
  9. K

    Kigamboni Bridge Contract Signed

    Kwani lazima mkuu! Una hamu sana na munkari wa kufanya PR nini! Tulia mjomba. Nway it is gud for the dream to come true. Itaondoa kabisa huu ubabe wa akina Magufuli kuwatoza watu na mjadala mzima unaoendelea sasa! Au mtatawatoza kama alivyowaambia watu "Mnafikiri hata daraja likijengwa...
Back
Top Bottom