Kitu kama hukijui ni bora ukae kimya,mimi natumia isuzu bighorn "plaisir" cc 2990 diesel with turbo charger huu ni mwaka wa saba!!na nasafiri nayo kwenda mikoani mara kwa mara, sasa hivi ina km 570,000.na bado iko vizuri.sijawahi kutafuta spea yoyote na kuikosa.hii gari ndio inayotumika USA kwa...