Gari inauzwa fasta

Gari inauzwa fasta

Kitu kama hukijui ni bora ukae kimya,mimi natumia isuzu bighorn "plaisir" cc 2990 diesel with turbo charger huu ni mwaka wa saba!!na nasafiri nayo kwenda mikoani mara kwa mara, sasa hivi ina km 570,000.na bado iko vizuri.sijawahi kutafuta spea yoyote na kuikosa.hii gari ndio inayotumika USA kwa majina matano tofauri ikiwapo isuzu tropper,monteray etc.angalia plate namba ya hiyo gari ya muuzaji,je ingewezaje kuwa barabarani hadi leo kama ni kimeo!!!!!???
 
bora mkuu kingrich umeongea,tatizo watu wengi wanapenda kusikiliza habari za kuambiwa vijiweni.
 
Mkuu ninayo hiyo mil 7 yani kaka si unaona nimefika peke yangu bei hiyo naomba uniuzie mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom