Recent content by KINGOLI JUMA

  1. K

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali: Ofisi za ustawi wa jamii zimegeuka kuwa chama cha kusaidia Wanawake

    Pole Sana mkuu kinachokukuta wewe na Mimi pia kinanikuta Tena ni kikubwa zaidi ya hicho k
  2. K

    JamiiForums Tanzania Utata na historia ya Salum bin Almasi aliyeuawa Kurasini akituhumiwa ni jambazi

    Kila nafsi itakufa na kila mtu atalipwa kwa kile alichokifanya hata hao waliomuua wakumbuke siku moja watakufa na marejeo ya watu wote ni kwa mwenyezi mungu yeye ndiye akimu wa mahakimu na kumbuka awatakuwa radhi mayahudi na manaswara mpaka mfuate mila zao kwa hiyo ndugu yangu ukiwa na imani...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atengua uteuzi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini

    dad tengua pangua mpaka lini
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa vipindi Clouds, Ruge Mutahaba alaani RC Makonda kuvamia ofisi zao

    daa nchi ya democrasia hii
  5. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

    daa nimeipenda hiyo mwenyewe nataka kwenda huko maisha ya bongo yamenichosha umri unakwenda sina ninachokipata kila siku tunaambiwa tufanye kazi lkn kazi zenyewe mimi sijaziona
  6. K

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya makusanyo TRA ya kodi ya mwezi wa kwanza na wa pili 2017 vipi?

    makusanyo ya miezi miwili ni kilo moja ya unga ni sh 2200 na mchele ni shillingi 2300 sasa kaa chini mwenyewe upige je baada ya miaka 2 itakuwa bei gani?
  7. K

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda: Hata ningepata sifuri kwenye masomo yangu, bado ningekuwa Mkuu wa Mkoa

    koromje maana yake ni call me j
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho dhidi ya mafanikio yake! Makonda wapuuze

    kaka kilo moja ya unga ni shilling 2200
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kinondoni, Dar: DC Ally Hapi aagiza mtumishi wa umma kuwekwa ndani saa 48 kwa kumzimia simu!

    kule kuna mbu ajaribu yeye kukaa kwa lisaa limoja tu
  10. K

    JamiiForums Tanzania Profesa Lipumba akataliwa na jumuiya ya Kimataifa

    kaza kwelikweli
Back
Top Bottom