Watakuwa wana ma scout wao nchini wanaangalia mienendo ya watu wenye vipaji maalumu kujaza nafasi mbali mbali kwenye chombo hiki nyeti
Sent using Jamii Forums mobile app
Serikali ajirini madaktari wa taadhali tunajua hatuna madaktari wakutosha sio tu kutoa elimu kwa matangazo kuwe na physical doctors kila mahali km ilivyokuwa usajili wa NIDA
Sijaskia hata serikali ikitangaza kuajiri madaktari na wapo wengi tu mtaani na MD zao tunataka madaktari wakuu waache kutibu wagonjwa wengine wahusike kupima Corona tuu na huduma nyingine wagonjwa wazidi kuugua
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.