Salute wana JF
Ni matumaini yangu kwamba kila mtu anayetaka kufanya biashara fulan bas hufanya kwa lengo la kupata faida. Leo nataka niongee kuhusu wale tunaofanya biashara ya forex. Najua kwmba watu wengi hukimbilia katika hii biashara kwa kile wanachoamin kwamba watapata utajiri wa haraka...
Mkuu.. asante kwa knowldge nzur na muhimu sana, japokua napata shida kidogo kwny hili.. bado naendelea kupractice. Nilikua naomba kama utakua na mda, utufafanulie namba ya kutoka nje ya mwl kwa kutumia hyo njia ya pili (kwa msaada wa mlio)
Mkuu @ mshana jr jee ni kwel maj ya chumvi au maj ya ndimu kama ulivosema yanaweza kutumika kukukinga na roho za giza?? Mfano ukinynyuzia maji ya chumv ndan, au ukayaweka kwny chombo maalum ndan kwko inasaidia kufukuza nguvunza giza?? Maana naona hata maji ya baraka wanayotumia wakatoliki wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.