Recent content by kingkong1987

  1. kingkong1987

    JamiiForums Tanzania TANESCO wamekata Umeme sehemu kubwa ya Nchi ya Tanzania, leo 29th Aug 2015

    Nisaidien kuwaambia TANESCO hii dhambi watashindwa kuijibu kwa Mola. Wameshaona hii nchi ni yao sasa. Sion sababu ya kufanya kampen maana hatuon kitu. Umeme unakatwa asbh sana unarudi sa saba usiku.
  2. kingkong1987

    JamiiForums Tanzania Karibu tujumuike

    Habari! Kama wewe ni mpenzi wa siasa tuma jina na namba yako ya simu nikuunge kwenye group la Jukwaa la siasa tujadili hoja mbalimbali za kisiasa. +255713922695
  3. kingkong1987

    JamiiForums Tanzania Sumaye kutangaza hatima yake kisiasa Jumapili Agosti 16

    Jaman sasa hizi sifa. Cyo kila mgeni ni mwema wengine wanatumwa kama chambo
  4. kingkong1987

    JamiiForums Tanzania Mazishi ya Mzee Kisumo kijiji cha Ngujin Usangi, Alhamisi Tarehe 13 Agosti, 2015

    Kama huna hakika kaa kimya! We ulisikia EL alichokisema Air port?
  5. kingkong1987

    JamiiForums Tanzania Nape aita waandishi wa habari Lumumba kujibu mapigo ya UKAWA

    Mkutano wa Waandishi wa Habari utafanyika saa 6 mchana wa leo Ijumaa hapo Lumumba. Dondoo kuu ni kutoa maelezo juu ya Wana CCM wanaohakihama chama hicho na kujiunga UKAWA. Kuweni na subira
  6. kingkong1987

    JamiiForums Tanzania Prof. Ibrahim Lipumba atangaza kujiuzulu nafasi ya Uenyekiti wa CUF Taifa

    Unahakika na hicho unachokisema mkuu?
  7. kingkong1987

    JamiiForums Tanzania Prof. Ibrahim Lipumba atangaza kujiuzulu nafasi ya Uenyekiti wa CUF Taifa

    Prof. Lipumba leo rasmi kapiga chini uenyekiti CUF. Swali la kujiuliza,hivi ni kweli watanzania tunakosa misimamo kiasi hiki? Kwa mtindo huu maendeleo tutakua tunataona kwenye tv nchi zengine
  8. kingkong1987

    JamiiForums Tanzania Utafiti wa namna Lowassa atakavyoinufaisha UKAWA

    (Kama una akili ndogo usisome) Kuna watu wenye akili ndogo hawajui kutofautisha "maoni ya mtu" na "maelezo ya mtu kuhusiana na maoni ya mtu mwingine". Kuna tofauti kati ya Malisa kusema "Ndio" na Malisa kusema "John kasema Ndio". Wenye akili kubwa watajua kauli ya kwanza ni ya Malisa na ya pili...
  9. kingkong1987

    JamiiForums Tanzania Hussein Bashe na kundi kubwa la Team Lowassa kuingia CHADEMA rasmi

    Baada ya kukamilika kikao cha Kamati Kuu ndani ya saa 72 kuanzia sasa wafuatao watakabidhiwa kadi:- 1. GOODLUCK OLE MEDEYE (MB) 2. CHRISTOPHER OLE SENDEKA (MB) 3. EMMANUEL NCHIMBI (MB) 4. SOPHIA SIMBA (MB) NB:- Hawatagombea nafasi zozote, kura za maoni zimekamilika majimbo yote. #CCM...
  10. kingkong1987

    JamiiForums Tanzania Kutoka Bahari Beach Hotel: Yaliyojiri katika Mapokezi ya Edward Lowassa kujiunga CHADEMA

    Ndo ameshahama ivyo, sasa endelea kuongea
  11. kingkong1987

    JamiiForums Tanzania Lowassa na Majibu ya Hasira kwa Swali la Msingi

    Swala la kurudisha kadi ya CCM nalo neno! Swala la RICHMOND bado lina ukakasi,kuna mambo yapo chini ya kapeti, Slaa na atabanwa atoe ushadihi aliosema anao kuhusu ufisadi wa Lowassa
Back
Top Bottom