Recent content by Kinghanje

  1. Kinghanje

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Tatizo la Ajira Tanzania linavyotumiwa na watu kutapeli vijana

    Hili ambalo kiongozi ACT wazalendo, amelizungumzia akribani mwaka sasa umepita BADO LIPO LINAENDELEA MAENEO YALE YALE mwenyewe ni muathirika na swala hili. Jamani eeh hii bado Inaendelea na Ni maeneo hayo hayo. Mm nimetoka kupigwa juz hpa. Nmesafiri from Njombe to dar. Maeneo hayo, nlipata...
  2. Kinghanje

    JamiiForums Tanzania Q-NET Company "biashara mtandao" ni utapeli unaoenea kwa kasi Tanzania. Serikali mko wapi?

    Sasa syo wote wanaenda hko kwa kulijua hilo, siku hizi wanatumia ndugu wa karibu kwa kukudanganya Kuna kazi uende kufika hko unakutana na hayo mambo!
  3. Kinghanje

    JamiiForums Tanzania Q-NET Company "biashara mtandao" ni utapeli unaoenea kwa kasi Tanzania. Serikali mko wapi?

    The same thing, lkn hku sometimes unaweza kupata
  4. Kinghanje

    JamiiForums Tanzania Q-NET Company "biashara mtandao" ni utapeli unaoenea kwa kasi Tanzania. Serikali mko wapi?

    Kweli aisee, serikali iingilie kati hili jambo sio la utani😭
  5. Kinghanje

    JamiiForums Tanzania Q-NET Company "biashara mtandao" ni utapeli unaoenea kwa kasi Tanzania. Serikali mko wapi?

    Huu Ni ukweli, mimi nilipigiwa simu Kuna kazi za booking kufika hko DSM nakutana na mambo mengine tofauti. Kwanza Salam ni "good morning" iwe mchana, usiku salam n hyo, how comes?? Harafu bdhaa unazoambiwa ununue ni za bei ya juu kweli kweli imagine saa inauzwa milioni 5, how comes,,,,,, na watu...
  6. Kinghanje

    JamiiForums Tanzania Changamkia fursa za kazi mtandaoni. Lakini kuna haja ya hili kwanza...

    Ila syo qnnet mzee baba! I can't agree!
  7. Kinghanje

    JamiiForums Tanzania Katika Kukuza Lugha Yetu Adhimu ya Kiswahili Kimataifa, Mnaonaje Rais Samia, Atumie Kiswahili, Kulihutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa?

    Kiswahili ni muongoni mwa lugha zenye hadhi kubwa hapa duniani, hivyo tutumie lugha yetu katika kuutangaza utamaduni wetu Watanzania.
  8. Kinghanje

    JamiiForums Tanzania Mambo 30 usiyoyajua kuhusu utapeli wa Q-Net (Network Marketing)

    Kumbe hii mambo ni muda Sana! Nmedanganywa Kuna kaz, kufka kule nakutana na hii mambo duu! And there's a number of people na wanaamini kupata. Hivi kuna faida mm nmerun away maana s jamb la kawaida kuona hadi wastafu wapo pale wanafundishwa hayo na wanaamini.... "Naamn na uchaw watumika aisee!
Back
Top Bottom