Recent content by kingbees_tz

  1. kingbees_tz

    Tutafuta njia sahihi za kuleta mahusiano mazuri kati ya askri wa usalama barabarani na bodaboda

    Habari ndugu na jamaa was jf kwanza niwatake radhi kwa maneno makali niliyoyatumia kwenye kichwa cha habari ila nia yangu ni kutengeneza urafiki mzuri wa askari wa usalama barabaran na vijana waliojiari kwa kusafirisha abiria alamaarufu (Boda Boda). Leo nimeona niiweke mada hii ubaoni tuweze...
  2. kingbees_tz

    Mpenzi wangu ananitukana sana!

    Uzuri ni kwamba haujafunga nae ndoa alafu Pili unamalengo mazuri ya kusubiri ajila ,ila kwa ushauri jaribu kuuliza moyo wako je hicho unachotaka kukifanya eiza UK ukondoka au kuendelea kubaki hapo kipi kinakupa furaha ,coz watu wanaeza wakakushauri umuache kumbe we moyon mwako bado unampenda...
  3. kingbees_tz

    Fiesta kuzuiwa: Clouds wanaweza kuishtaki Manispaa na kudai fidia ya mabilioni, maamuzi yao yanaichafua awamu ya tano

    Mambo vip wanjf ndugu jamaa marafiki poleni na machonzi makubw sana kwa kuikisa fiestar 2018 ktk jiji la dar es salam Ni maswali mengi mnajiuliza kwanini fiesta ikazuikiwa isifanyike na je hizi hasara za kuinvect nani atalipa ,kiukweli vitu hv vinaumiza sana .ila acha nikukumbushe kitu , Ktk...
  4. kingbees_tz

    Clouds Media Group watangaza kusitisha tamasha la Fiesta Dar

    Wakati Wasafi media ikiendele kutamba #Mtwara huku dar es salaam tunaingia kwenye masikitiko makubwa baada ya tamasha la tigo fiesta likisitishwa kwa madai ya kua eti ni malalamiko ya wagonjwa wa moyo na waliolazwa kuilalamikia serikali kua pindi mziki upigwapo pale lidaz hua unawajera wagonjwa...
Back
Top Bottom